Jaji Mfawidhi wa MahakamaKuu
Divisheni ya Kazi Mhe. Aisha Nyerere akionesha bango kabla ya kanza
kwamatembezi ya Uzinduzi wa wiki ya Sheria Nchini leo jijini Dar es
Salaam.
Kaimu Jaji Mkuu wa Tanzania Prof.
Ibrahim Juma akiwa katika picha ya pamoja na Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe.
Omar Othman Makungu na Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania Mhe.
Ferdinand Wambali kabla ya kuanza kwa matembezi ya zinduzi wa wiki ya
Sheria leo jijini dar es salaam.
Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Mhe.
Ali Hassan Mwinyi akiongoza Matembezi ya Uzinduzi wa Wiki ya Sheria
nchini leo.Kushoto ni Kaimu Jaji Mkuu wa Tanzania Prof. Ibrahim Juma na
kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria Prof.Sifuni Mchome.
Baadhi ya Watumishi wa Mahakamawakiwakwenye Matembezi hayo.
Baadhi ya Watumishi wa Mahakamawakiwakwenye Matembezi hayo.
Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Mhe.
Ali Hassan Mwinyi akizungmza wakati wa Uzinduzi wa Wiki ya Sheria
nchini leo katika viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam .
PICHA ZOTE NA LYDIA CHURI-MAHAKAMA
No comments :
Post a Comment