Treni ya abiria ya Shirika la
Reli (TRL) inayofanya safari zake kutoka Dar-Mwanza na Kigoma almaarufu
Delux imepata ajali jioni hii ikielekea Dar es Salaam, ajali hiyo
imetokea katika mkoa wa Pwani bado haijajulikana ni kitu gani
kimesababisha ajali hiyo tunaendelea kufuatilia ili kujua chanzo cha
ajali.
Pages
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
No comments :
Post a Comment