Monday, December 19, 2016

ZIARA YA MAJALIWA ARUSHA

swali-2
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisikiliza swali kutoka kwa Regina Makorongo wa  eneo la Kwa Mrombo jijini Arusha wakati aliposimama kuwasikiliza wananchi akiwa njiani kwenda Usa River wilayani Arumeru  Desemba 17, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
swali-1
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akisalimiana na Mbunge wa Viti Maalum, Amina Mollel baada ya kuhutubia mkutano wa hadara  kwenye katika uwanja wa Ngaraseru, USA River akiwa katika ziara ya mkoa wa Arusha Desemba 17, 2016.  Katikati ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
swali
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akifungua nyumba  sita za walimu zilizoko katika jengo moja kwenye Shule ya Sekondari ya Oljoro akiwa aktika ziara ya mkoa wa Arusha, Desemba 17, 2016. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
swali-mikono
  Wananchi wa eneo la Kwa Mrombo  wilayani Arusha wakinyoosha mikono ili wapewe nafasi ya kumuuliza swali Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati aliposimama katika eneo hilo akiwa njiani kwenda Usa River wilayani Arumeru  kuhutubia mkutano wa hadhara Desemba 17, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments :

Post a Comment