Mwakilishi Mkazi wa Shirika la
Ushirikiano wa Maendeleo la Kimataifa la Korea (KOICA), Bw. Joonsung
PARK, akitoa neno la utangulizi wakati wa Mkutano Mkuu wa Mwaka wa
Jumuiya ya Watanzania waliosoma nchini Korea (KOICA/KAAT) uliofanyika
leo jijini Dar es Salaam.
Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Bi. Susan Mlawi akifungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Jumuiya ya Watanzania waliosoma nchini Korea (KOICA/KAAT) uliofanyika leo jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wanufaika wa mafunzo
yanayotolewa na Serikali ya Jamhuri ya Korea kupitia KOICA wakimsikiliza
Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na
Utawala Bora, Bi. Susan Mlawi (hayupo pichani) alipokuwa akifungua
Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Jumuiya ya Watanzania waliosoma nchini Korea
(KOICA/KAAT) uliofanyika leo jijini Dar es Salaam.
Naibu Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais –
Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Bi. Susan Mlawi akiwa
katika picha ya pamoja na baadhi ya wanufaika wa mafunzo yanayotolewa na
Serikali ya Jamhuri ya Korea kupitia KOICA mara baada ya kufungua
Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Jumuiya ya Watanzania waliosoma nchini Korea
(KOICA/KAAT) uliofanyika leo jijini Dar es Salaam.
No comments :
Post a Comment