Saturday, December 17, 2016

WATENDAJI WA WIZARA YA ARDHI, NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI WAPIGWA MSASA KATIKA UONGOZI 1

1
Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Moses Kusiluka akifungua Semina ya Uongozi kwa watendaji wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi iliyofanyika katika Ukumbi wa BOT Jijini Dar es salaam.
2
Baadhi ya Watendaji wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi wakifuatilia Semina ya Mafunzo ya uongozi iliyofanyika Katika Ukumbi wa BOT Jijini Dar es salaam.
3
Muwezeshaji; Bwn. Peter K. Kiuluku wa Taasisi ya Uongozi ya Afrika Mashariki na Kusini (ESAMI) akitoa Mada katika Semina ya Uongozi kwa Watendaji wa Wizara ya Ardhi nyumba na Maendeleo ya makazi.
4
Mjumbe wa semina; Bi. Teddy Njau akisisitiza jambo wakati wa Semina ya Mafunzo ya uongozi iliyofanyika Katika Ukumbi wa BOT Jijini Dar es salaam.
5
Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu; Bwn. Victor Kategere; akisisitizia jambo wakati wa kufungwa kwa Semina ya Uongozi kwa watendaji wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi yaliyofanyika katika Ukumbi wa BOT Jijini Dar es salaam, kushoto kwake ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo na anayemfuata ni Muwezeshaji; Bwn. Peter K. Kiuluku wa Taasisi ya Uongozi ya Afrika Mashariki na Kusini (ESAMI)
6
Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Yamungu Kayandabila akifunga Semina ya Uongozi kwa watendaji wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi yaliyofanyika katika Ukumbi wa BOT Jijini Dar es salaam.
Na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi

No comments :

Post a Comment