Sunday, December 18, 2016

TBL Women’s Forum Mwanza wafunga mwaka kwa kuweka mikakati ya mwaka ujao


mwaaaa
Mshauri wa Masuala ya jinsia Bi.Sadaka Gandi, akiongea wakati wa hafla hiyo
mwaa
Wafanyakazi wanawake wa TBL mkoani Mwanza wakisikiliza mada za kuweka mikakati ya kwenda mbele wakati wa hafla yao iliyofanyika Mwanza mwishoni mwa wiki
kunywa
Meneja wa Mawasiliano wa TBL Group,Zena Tenga ,akitoa mada wakati wa hafla hiyo
kula-kuju
Wafanyakazi wanawake wa TBL wakipata chakula kwa pamoja wakati wa hafla hiyo
zere
Wafanyakazi wanawake wa TBL  wakiserebuka na muziki  wakati wa hafla hiyo
oppppp
Wafanyakazi wanawake wa TBL waliohudhuria hafla yao ya kumaliza mwaka wakiwa katika picha ya pamoja

No comments :

Post a Comment