Rais wa Jamhiri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli
wakiongea na Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Katoliki Dar es salaam
Muadhama Polycarp Kardinali Pengo walipomtembelea kumpa pole kufuatia
kifo cha dada yake nyumbwani kwake Kurasini jijini Dar es salaam leo
Desemba 23, 2016
hadi p6: Rais wa Jamhiri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth
Magufuli wakiongea na Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Katoliki Dar es
salaam Muadhama Polycarp Kardinali Pengo walipomtembelea kumpa pole kwa
kufiwa na dada yake nyumbwani kwake Kurasini jijini Dar es salaam leo
Desemba 23, 2016
No comments :
Post a Comment