Friday, December 23, 2016

RAIS DKT MAGUFULI AWAAPISHA MAJAJI WANNE WAPYA WA MAHAKAMA YA RUFANI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM


ua1
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Jaji Semistocles Kaijage kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Ikulu jijini Dar es salaam leo Desemba 23, 2016
ua2
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimmkabidhi nyenzo za kazi baada ya kumuapisha uapisha Jaji Semistocles Kaijage kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Ikulu jijini Dar es salaam leo Desemba 23, 2016
ua3
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi nyezo za kazi baada ya kumuapisha Jaji (Mst) Hamid Mohamoud Hamid kuwa Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Ikulu jijini Dar es salaam leo Desemba 23, 2016
ua4
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza baada ya kumuapisha Jaji Semistocles Kaijage kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Ikulu jijini Dar es salaam leo Desemba 23, 2016
ua5
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimmpongeza  baada ya kumuapisha Jaji (Mst) Hamid Mohamoud Hamid kuwa Makamu Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Ikulu jijini Dar es salaam leo Desemba 23, 2016
ua6
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza baada ya kumuapisha Jaji (Mst) Harold Reginald Nsekela Kuwa Kamishna wa Maadili katika Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma Ikulu jijini Dar es salaam leo Desemba 23, 2016
ua7
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimwsalimiana na Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi  mstaafu Jaji Damian Lubuva  Ikulu jijini Dar es salaam leo Desemba 23, 2016
ua8
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa wakiwa na Jaji Semistocles Kaijage baada ya kuapishwa kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Ikulu jijini Dar es salaam leo Desemba 23, 2016
ua9
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli katika picha ya kumbukumbu  na Jaji Semistocles Kaijage baada ya kumuapisha  kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Ikulu jijini Dar es salaam leo Desemba 23, 2016
ua10
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa wakiwa katika picha ya kumbukumbu na Jaji (Mst) Harold Reginald Nsekela aliyeapishwa Kuwa Kamishna wa Maadili katika Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma Ikulu jijini Dar es salaam leo Desemba 23, 2016
ua11
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa wakiwa na   Jaji Semistocles Kaijage baada ya kuapishwa kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Ikulu jijini Dar es salaam leo Desemba 23, 2016. Kulia ni Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi  mstaafu Jaji Damian Lubuva 
ua12
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa wakiwa na Jaji (Mst) Harold Reginald Nsekela ambaye ameapishwa kuwa Kuwa Kamishna wa Maadili katika Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma Ikulu jijini Dar es salaam leo Desemba 23, 2016. Kulia ni Kamishna wa Maadili katika Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma Mstaafu Jaji Salome Kaganda.
PICHA NA IKULU
jpmleo

No comments :

Post a Comment