Friday, December 23, 2016

RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA BALOZI WA UTURUKI NCHINI MHE YASEMIN ERALP


bal1
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiwa na Balozi wa Uturuki nchini Mhe. Yassemin Eralp  walipokutana kwa mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam leo Desemba 23, 20176
bal2
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli katika picha ya kumbukumbu na  Balozi wa Uturuki nchini Mhe. Yasemin  Eralp walipokutana kwa mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam leo Desemba 23, 20176. Wengine kutoka kushoto ni Balozi zuhura Bundala, Balozi Joseph Sokoine na Bw. Hassan Mwamweta wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kikanda na Kimataifa.
PICHA NA IKULU
bal3
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akiagana  na Balozi wa Uturuki nchini Mhe. Yassemin Eralp  baada ya kukutana kwa mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam leo Desemba 23, 20176

No comments :

Post a Comment