Rais wa
Jamhuri ya Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Jaji Rehema
Kiwanga Mkuye kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufaa Ikulu jijini Dar es salaam
leo Desemba 23, 2016
Rais wa Jamhuri ya Tanzania Dkt
John Pombe Magufuli akiweka sahihi hari ya kiapo baada ya kumuapisha
Jaji Rehema Kiwanga Mkuye kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufaa Ikulu jijini
Dar es salaam leo Desemba 23, 2016
Rais wa Jamhuri ya Tanzania Dkt
John Pombe Magufuli akimuapisha jaji Sivangilwe Sikalalilwa Mwangosi
kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufaa Ikulu jijini Dar es salaam leo Desemba
23, 2016
Rais wa Jamhuri ya Tanzania Dkt
John Pombe Magufuli akimuapisha jaji Dkt. Gerald Ndika kuwa Jaji wa
Mahakama ya Rufaa Ikulu jijini Dar es salaam leo Desemba 23, 2016
Rais wa Jamhuri ya Tanzania Dkt
John Pombe Magufuli akimkabidhi vitendea kazi mara baada ya kumuapisha
jaji Dkt. Gerald Ndika kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufaa Ikulu jijini Dar
es salaam leo Desemba 23, 2016
Rais wa Jamhuri ya Tanzania Dkt
John Pombe Magufuli akimuapisha Jaji Jackobs Mwambegele kuwa Jaji wa
Mahakama ya Rufaa Ikulu jijini Dar es salaam leo Desemba 23, 2016
Rais wa Jamhuri ya Tanzania Dkt
John Pombe Magufuli akiwapongeza baada ya kuwaapisha kuwa Majaji wa
Mahakama ya Rufaa Ikulu jijini Dar es salaam leo Desemba 23, 2016
Rais wa Jamhuri ya Tanzania Dkt
John Pombe Magufuli akiwapongeza baada ya kuwaapisha kuwa Majaji wa
Mahakama ya Rufaa Ikulu jijini Dar es salaam leo Desemba 23, 2016
Rais wa Jamhuri ya Tanzania Dkt
John Pombe Magufuli akisalimiana na wageni waalikwa baada ya kuwaapisha
Majaji wa Mahakama ya Rufaa Ikulu jijini Dar es salaam leo Desemba 23,
2016
Rais wa Jamhuri ya Tanzania Dkt
John Pombe Magufuli, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Waziri wa Nchi Ofisi
ya Rais Mhe Angellah Kairuki, Jaji Mkuu Mhe Mohamed Chande Othman Katibu
Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi, Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe.
George Masaju katika picha ya pamoja na Majaji wapya wanne wa Mahakama
ya Rufaa Ikulu jijini Dar es salaam leo Desemba 23, 2016
PICHA NA IKULU
No comments :
Post a Comment