Sunday, December 18, 2016

NAIBU WAZIRI WA FEDHA NA MIPANGO DKT. ASHATU KIJAJI AHIMIZA MAENDELEO VIJIJINI

tuo
Mkuu wa mradi wa Agra, ambaye pia ni Mhadhiri katika Chuo Cha Mipango ya Maendeleo Vijijini-Dodoma, Dkt. Mark Msaki (kushoto), akitoa ufafanuzi kwa Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) (Katikati) wakati akikagua maonesho ya taaluma, huduma na bidhaa kabla ya kutunuku tuzo mbalimbali kwa wahitimu 829 katika Mahafali ya 30 ya Chuo Cha Mipango ya Maendeleo Vijijini, Kituo cha Mwanza. Kushoto kwa Dkt. Kijaji na Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Angelina Mabula (Mb).
tuoii
Mwanafunzi wa kiume wa Stashahada Mwaka wa Pili wa Chuo cha Mipango ya Maendeleo Vijijini, Kituo cha Mwanza, akielezea kuhusu mafunzo wanayoyapata chuoni hapo na namna elimu hiyo inavyosaidia kuendeleza vijiji walivyokwenda kufanya mazoezi kwa vitendo mkoani Mwanza, wakati Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) (Hayupo pichani) alipotembelea na kukagua maonesho hayo ya taaluma, huduma na bidhaa zinazotolewa na chuo hicho.
tuo-kike
Mwanafunzi wa kike wa Stashahada Mwaka wa Pili wa Chuo cha Mipango ya Maendeleo Vijijini, Kituo cha Mwanza, akielezea kuhusu mafunzo wanayoyapata chuoni hapo na namna elimu hiyo inavyosaidia kuendeleza vijiji walivyokwenda kufanya mazoezi kwa vitendo mkoani Mwanza, wakati Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) (kushoto) alipotembelea na kukagua maonesho hayo ya taaluma, huduma na bidhaa zinazotolewa na chuo hicho.
tuo-kus
Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) (kushoto), akionesha moja ya machapisho yaliyotolewa na Chuo cha Mipango ya Maendeleo Vijijini wakati alipotembelea na kukagua maonesho ya taaluma, huduma na bidhaa kabla ya kutunuku tuzo mbalimbali kwa wahitimu 829 katika Mahafali ya 30 ya Chuo Cha Mipango ya Maendeleo Vijijini, Kituo cha Mwanza. 
tuo-kuu
Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) (kushoto), akisikiliza kwa makini maelezo yaliyokuwa yakitolewa na Mkufunzi wa Chuo cha Mipango na Maendeleo Vijijini Bw. Ezekiel Kanire, (aliyeshika kipaza sauti) wakati alipotembelea na kukagua maonesho ya taaluma, huduma na bidhaa kabla ya kutunuku tuzo mbalimbali kwa wahitimu 829 katika Mahafali ya 30 ya Chuo Cha Mipango ya Maendeleo Vijijini, Kituo cha Mwanza. Kushoto kwa Dkt. Kijaji na Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Angelina Mabula (Mb).
tuo-kukli
Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) (kushoto), akiangalia kipeperushi chenye maelezo ya faida za kutumia kitunguu swaumu kwa binadamu wakati   Mkulima wa zao la vitunguu swaumu kutoka Wilayani Mbulu Mkoani Manyara, Bw, Boniface Bura, (aliyeshika kipaza sauti), akitoa maelezo namna Chuo chas Mipango ya Maendeleo Vijijini kilivyomsaidia kuongeza thamani ya zao hilo, wakati Naibu waziri huyo alipotembelea na kukagua maonesho ya taaluma, huduma na bidhaa zinazotolewa na Chuo cha Mipango ya Maendeleo Vijijini, Kituo cha Mwanza.
tuo-koo
Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) (kushoto), akisikiliza kwa makini maelezo yaliyokuwa yakitolewa na mkulima wa zao la vitunguu swaumu kutoka Wilayani Mbulu Mkoani Manyara, Bw. Boniface Bura, (aliyeshika kipaza sauti), alipotembelea na kukagua maonesho ya taaluma, huduma na bidhaa zinazotolewa na Chuo cha Mipango ya Maendeleo Vijijini, Kituo cha Mwanza, kabla ya kutunuku tuzo mbalimbali kwa wahitimu 829 wa Chuo hicho wakati wa Mahafali ya 30 yaliyofanyika mara ya tano katika Kituo hicho cha Mwanza.
tuo-zawa
Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) (kushoto), akipokea zawadi ya Kitunguu swaumu kilichosindikwa, kwaniaba ya Mhe. Rais Dkt. John Pombe Magufuli iliyotolewa na Mkulima wa zao hilo kutoka Wilayani Mbulu Mkoani Manyara, Bw. Boniface Bura, anayenufaika na mradi wa kuwawezesha wakulima vijijini wa Mivaraf, ikiwa ni ishara ya kuunga mkono Jitihada za Serikali ya Awamu ya Tano ya Viwanda.

tuo-pi
Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) (kushoto), akizungumza na vyombo vya habari baada ya kumaliza kutembelea na kukagua maonesho ya taaluma, huduma na bidhaa kabla ya kutunuku tuzo mbalimbali kwa wahitimu 829 katika Mahafali ya 30 ya Chuo Cha Mipango ya Maendeleo Vijijini, Kituo cha Mwanza.


(Picha zote na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini-WFM)
………….
Benny Mwaipaja, WFM, Mwanza
NaibuWaziriwaFedhanaMipango, Dkt. AshatuKijaji, amekitaka Chuo Cha MipangoyaMaendeleoVijijini,kuhakikishakuwakinajielekezakutatuachangamotozinazokwazamaendeleoyawananchivijijiniilikuwafanyavijanawengiwanaokimbiliamijinikutafutamaishawawezekubakikwenyevijijivyaoambavyovitakuwavimepangwavizurinakupatikanahudumamuhimuzajamii
Dkt. KijajiametoaraihiyomkoaniMwanza, baadayakukaguamaoneshoyabidhaanahudumazinazotolewanachuohichokatikaKituo cha Mafunzo cha Kanda yaZiwa, kilichokoeneo la Bwiru, mkoanihumo.
NaibuwazirihuyowaFedhanaMipangoamesemakuwakatikakufikiaazmayaserikaliyakuwanchiyaviwandaifikapomwaka 2025, Chuo hicho kina wajibumkubwawakufundishawataalamuwatakaokuwachachuyakuboreshahudumanakuimarishasektayakilimoambachondionguzokuuyauchumiwawananchiwaliowengivijijini.
“Ni muhimukuwafundishakuwafundishawakulimanamnayakuongezathamaniyamazaoyao, badalayakuuzavitunguuswaumu kilo mojashilingi 5,000, vikiongezwathamanitumeambiwavitaunzwakwashilingi 24,000 kwaujazohuohuojamnoambalonijema” aliongezaDkt. Kijaji
Amesisitizakuwa Tanzania yaRaisDkt. John PombeMagufuliniyaviwandaambavyovimeanzakuonekananakuwatakawatanzaniakuwatayarikuchukuafursahizo, hususanvijanamahaliwalipokulevijijinibadalayakukimbiliamijini.
Kwaupande wake NaibuWaziriwaArdhiNyumbanaMaendeleoyaMakazinaMbungewaJimbo la Ilemela, JijiniMwanza, Bi. Angelina Mabula, amerejeawito wake kwaHalmashaurizotenchinikutengaardhikwaajiliyakuendelezavijanakatikasektayauzalishajimaliiliwawezekutumiauwepowa Chuo cha Mipangokatikakuwaendelezakwavitendokwakuwapatiastadizanamnayakujikwamuakiuchumi
MkulimakutokaWilayaniMbuluMkoaniManyara, ambayeamewezeshwana Chuo Cha Mipangokuongezathamaniyazao la KitunguuSwaumukupitiaufadhiliwaShirika la MIVARAF, Bw. Boniface Bura, amempatiazawadiyaKitunguuSwaumukilichosindikwa, RaisDkt. John PombeMagufuli, ikiwaniisharayakuoneshafurahayakekwamafanikiomakubwaaliyoyapata.
“Hivisasaninauwezowakuvaanguompya, nimepelekawatotowangushuleninakujengamakazi bora, hiinifursanzurikwangunawenzanguambaokwapamojatumeamuakuongezamnyonyorowathamaniwazaoletu la kitunguuswaumu” alisemaBw, Burahukuakishangiliwanawatuwalioshirikikuangaliamaoneshohayo
NayeMkufunziwa Chuo cha MipangoyaMaendeleoVijijini, Bw. Ezekiel Kanire, amesemakuwa Chuo hichokinafanyamawasilianonaShirika la Viwangonchini TBS, iliiwezekuwapatiawakulimahaowaVitunguuwilayaniMbulumkoaniManyara, nambayautambulishoyauborawabidhaailibidhaahizoziwezekuuzwapiakimataifanakuwaongezeawakulimahaokipatokikubwazaidi.
KupitiampangohuuwachuowakuwawezeshawakulimavijijinikupitiamradiwaMivaraf, tumewezakuwasaidiawakulimawavitunguuswaumuwaMbulumtambowakuchakatavitunguuhivyowenyethamaniyazaidiyashilingiMilioni 54, kinachobakisasanikuboreshazaidiuzalishajinaufungashajiwabidhaahizoiliziwezekupatanambayautambulishokutoka TBS.
Bw. KanireamesemakuwampangohuoutaanzamweziJanuarimwakaniambapo Chuo hichokitakutananauongoziwa TBSilikufanikishajambohilolitakalokuwamkombozimkubwakwawakulimaambaowatawezakupenyezabidhaazaokatikasoko la ndanina la kimataifa

No comments :

Post a Comment