Sunday, December 18, 2016

Mkurugunzi wa Idara ya Habari – MAELEZO Atunukiwa PhD


mark
 Mkurugenzi wa Idara ya Habari – MAELEZO Dkt. Hassan Abbass akikitunukiwa Shahada yake ya Uzamivu ya Mawasiliano ya Umma kutoka Chuo Kikuu cha Mtakatifu Agustino Tanzania (SAUT) wakati wa Mahafali 16 ya chuo hicho leo Jijini Mwanza.
picha-yako
 Mkurugenzi wa Idara ya Habari – MAELEZO, Dkt. Hassan Abbass (wanane kutoka kushoto mstari wa mbele) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wahitimu wenzake mara baada ya kutunukiwa Shahada yake ya Udaktari wa Mawasiliano ya Umma kutoka Chuo Kikuu cha Mtakatifu Agustino Tanzania (SAUT) wakati wa Mahafali 16 ya chuo hicho leo Jijini Mwanza.
shaaa
 Mkurugenzi wa Idara ya Habari – MAELEZO, Dkt. Hassan Abbass akipokea shada la maua mara baada ya kutunukiwa Shahada yake ya Udaktari wa Mawasiliano ya Umma kutoka Chuo Kikuu cha Mtakatifu Agustino Tanzania (SAUT) wakati wa Mahafali 16 ya chuo hicho leo Jijini Mwanza.
fure
 Mkurugenzi wa Idara ya Habari – MAELEZO, Dkt. Hassan Abbass (kushoto) akifurahia jambo na mmoja wa Wahadhiri wa Chuo Kikuu cha Mtakatifu Agustino (SAUT) Fr. Francis Ng’atigwa mara baada ya kutunukiwa Shahada yake ya Udaktari wa Mawasiliano ya Umma kutoka Chuo Kikuu cha Mtakatifu Agustino Tanzania (SAUT) wakati wa Mahafali 16 ya chuo hicho leo Jijini Mwanza.
Picha na Maelezo.

No comments :

Post a Comment