Wataalamu wa sekta ya Elimu wakutana na kuchambua sera na changamoto elimu
Mkuu wa Idara ya Elimu kutoka Wizara ya. Elimu, Sayansi, Teknolojia
na Ufundi, Sylvia Chinguwile (kulia) akifafanua jambo katika warsha
hiyo. Mwanachama
wa Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP), Zippora Shekilango (kulia)
akizungumza jambo katika warsha hiyo ilishirikisha pia watendaji Wizara
ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto pamoja na wadau
wengine.Muwasilishaji
wa mada juu ya changamoto katika sekta ya elimu, Bi. Agnes Lukanga
(kulia) akiwasilisha mada yake kwa wataalamu hao.Ofisa
Mradi wa TGNP, Happiness Maruchu (kushoto) akifafanua namna mtandao huo
unavyoendesha tafiti zake kwa jamii kabla ya kuibua changamoto
mbalimbali kwenye jamii.Baadhi
ya maofisa na watendaji kutoka sekta ya elimu wakiwa katika majadiliana
kujadili changamoto za sera katika warsha iliyoandaliwa na TGNP Mtandao
na kufanyika jijini Dar es Salaam jana. Warsha hiyo pia ilishirikisha
watendaji Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto
pamoja na wadau wengine.Baadhi

pamoja na wadau wengine.Muwasilishaji
wa mada juu ya changamoto katika sekta ya elimu, Bi. Agnes Lukanga
(kushoto) akiwasilisha mada yake kwa wataalamu hao.Muwasilishaji
wa mada juu ya changamoto katika sekta ya elimu, Bi. Agnes Lukanga
(kulia) akiwasilisha mada yake kwa wataalamu hao.Kaimu
Afisa Elimu Manispaa ya Ilala jijini Dar es Salaam, Asha Mapunda (wa
kwanza kushoto) akichangia jambo katika warsha hiyo ya siku tatu
iliyoandaliwa na TGNP Mtandao.Baadhi ya washiriki katika warsha hiyo akichangia jambo katika warsha hiyo ya siku tatu iliyoandaliwa na TGNP Mtandao.Majadiliano katika vikundi kwa washiriki wa warsha yakiendelea.Majadiliano katika vikundi yakiendelea.
No comments :
Post a Comment