Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki EAC
Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mke wa Mwanzilishi wa Taifa la
Sudani Kusini Rebecca Nyandeng De Mabior aliyefika Ikulu pamoja na
ujumbe wake kwa ajili ya mazungumzo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
ambaye pia ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki EAC Dkt. John
Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Mke wa Mwanzilishi wa Taifa la
Sudani Kusini Rebecca Nyandeng Mabior Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
ambaye pia ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki EAC Dkt. John
Pombe Magufuli akiagana na Mke wa Mwanzilishi wa Taifa la Sudani Kusini
Rebecca Nyandeng De Mabior mara baada ya kumaliza mazungumzo yao Ikulu
jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki EAC
Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na Mabior Garang Mtoto wa Mwanzilishi
wa Taifa la Sudani Kusini Hayati John Garang De Mabior Ikulu jijini Dar
es Salaam.
PICHA NA IKULU
No comments :
Post a Comment