Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya
Taifa ya Uchaguzi Bw. Kailima Ramadhan (kushoto) akimkaribisha
Mwenyekiti mpya wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Jaji wa Mahakama ya
Rufaa, Mhe. Jaji Semistocles Kaijage (kulia) kwenye Ofisi za Tume
zilizoko Posta jijini Dar es salaam. Mhe. Jaji Semistocles Kaijage
ameapishwa leo Ikulu jijini Dar es salaam kuiongoza Tume hiyo kwa
kipindi cha miaka 5.
Baadhi ya Watumishi wa Tume ya
Taifa ya Uchaguzi (NEC) wakimpokea Mwenyekiti mpya wa Tume hiyo mara
baada ya kuwasili katika Ofisi za Tume ya Taifa ya Uchaguzi Posta,
jijini Dar es salaam.
Baadhi ya Watumishi wa Tume ya
Taifa ya Uchaguzi (NEC) wakimpokea Mwenyekiti mpya wa Tume hiyo mara
baada ya kuwasili katika Ofisi za Tume ya Taifa ya Uchaguzi Posta,
jijini Dar es salaam.
Mwenyekiti mpya wa Tume ya Taifa
ya Uchaguzi (NEC) Jaji wa Mahakama ya Rufaa, Mhe. Jaji Semistocles
Kaijage (kulia) akiwa Ofisini kwake kwa mara ya kwanza mara baada ya
kuapishwa leo. Mhe. Jaji Semistocles Kaijage ameteuliwa kuongoza Tume
hiyo kwa kipindi cha miaka mitano kuanzia tarehe 20 Desemba, 2016.
Mwenyekiti mpya wa Tume ya Taifa
ya Uchaguzi (NEC) Jaji wa Mahakama ya Rufaa, Mhe. Jaji Semistocles
Kaijage (kushoto) akizungumza na Wajumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi
ofisini kwake leo.
Mwenyekiti mpya wa Tume ya Taifa
ya Uchaguzi (NEC) Jaji wa Mahakama ya Rufaa, Mhe. Jaji Semistocles
Kaijage (kushoto) akizungumza na Wajumbe wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi
ofisini kwake leo.
Picha na Aron Msigwa – NEC
No comments :
Post a Comment