Picha
ya pamoja ya Katibu Mkuu wa wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji,
anayeshughulikia Viwanda Mhe. Dr. Adelhelm Meru, wahasibu na wakaguzi wa
ndani wa Wizara.
Katibu
Mkuu wa wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Mhe. Dr. Adelhelm
Meru, akipokea tuzo ya ushindi wa kwanza kwa kundi la Wizara na Idara za
Serikali ya ubora wa uwasilishwaji wa taarifa ya fedha kwa mwaka 2015
kutoka kwa mhasibu mkuu wa Wizara Rose Janeth Bandisa.
Tuzo ya ushindi wa kwanza kwa
kundi la Wizara na Idara za Serikali ya ubora wa uwasilishwaji wa
taarifa ya fedha kwa mwaka 2015. Tuzo hii hutolewa kila mwaka na bodi ya
taifa ya wahasibu na wakaguzi (NBAA).
Picha na Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
No comments :
Post a Comment