Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akihutubia mkutano wa hadhara kwenye kijiji cha Namanga kilichopo kwenye
mpaka wa Tanzania na Kenya mkoani Arusha Desemba 16, 2016. (Picha na
ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akiwapungia wananchi wa kijiji cha Namanga kilichopo kwenye mpaka wa
Kenya na Tanzania kilichopo kwenye wilayani Longido wakati
alipohutubia mkutano wa hadhara kijijini hapo Desemba 16, 2016.(Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akikabidhiwa kirungu na wazee wa kimasai ikiwa ni ishara ya kumsimika
kuwa mmoja wa wazee wa kabila hilo katika mkutano wa hadhara
aliouhutubia katika kijjiji cha Namanga kilichopo kwenye mpaka wa Kenya
na Tanzania wilayani Longido Desemba 16, 2016. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akizungumza na wazee wa kimasai baada ya kuhutubia mkutano wa hadhara
katika kijiji cha Namanga kilichopo kwenye mpaka wa Kenya na Tanzania
wilayani Longido Desemba 16, 2016. Wapili kushoto ni Mkuu wa mkoa wa
Arusha, Mrisho Gambo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
wanawake wa kimasai wakiimba
wakati Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alipowasili kwenye uwanja wa mkutano
kuhutubia wananchi katika kijiji cha Namanga kilichopo kwenye mpaka wa
Kenya na Tanzania wilayani Longido, Desemba 16, 2016. (Picha na ofisi
ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
Desemba 16, 2016 alikabidhi pikipiki 10 kwa vijana wa bodaboda wa
Namanga na Longido mkoani Arusha . Pichani, Waziri Mkuu akikabidhi
pikipiki hizo baada ya kuhutubia mkuano wa hadhara katika kijiji hicho.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments :
Post a Comment