Friday, December 16, 2016

WAZIRI MHAGAMA AKAGUA MAENDELEO YA UJENZI WA MAKAZI MAPYA YA WAZIRI MKUU NA UKARABATI WA NYUMBA ZA WATUMISHI WAKE MKOANI DODOMA


home-oo
Nyumba za watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu zikiwa katika hatua za mwisho kukamilikana tayari kwa kutumiwa na watumishi hao kuanzia mwanzoni wa mwakani.Ukarabati wa nyumba hizi unasimamiwa na Mamlaka ya Ustawishaji wa makao makuu (CDA) Dodoma.
akio
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge,Kazi,Vijana,Ajira na Walemavu Mhe.JenistaMhagama akizungumza na viongozi mbalimbali wa Mamlaka ya Ustawishajiwa makao makuu (CDA) Dodoma na mkandarasi kwa pamoja wanasimamia mradi wa ukarabati wa makazi ya watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu katika eneo la kikuyu mkoani Dodoma.
mha
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri MkuuSera,Bunge,Kazi,Vijana,AjiranaWalemavu Mhe.Jenista Mhagama akipata maelezo kutoka kwa Mhandisi  Joseph Muhamba kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu wakati Waziri Huyo alipotembelea na kukagua maendeleo ya Ujenzi wa makazi ya  Waziri mkuu eneo la Mlimwa,Dodoma.
as
Waziri waNchiOfisiya Waziri MkuuSera,Bunge,Kazi,Vijana,AjiranaWalemavuMhe.JenistaMhagamaakiangaliamaendeleoyaujenziwaBarabaranaMadarajakatikaOfisimpya Waziri Mkuuiliyopoeneo la Mlimwa,Dodoma.
momba
Waziri waNchiOfisiya Waziri MkuuSera,Bunge,Kazi,Vijana,AjiranaWalemavuMhe.JenistaMhagamaakikaguaujenziwatanki la kuhifadhinakupelekamajikatikamakaziyawaziriMkuueneo la Mlimwa,Dodoma.Tenkihilolinauwezowakuhifadhilitalakimbilikwasiku.
maew
Waziri waNchiOfisiya Waziri MkuuSera,Bunge,Kazi,Vijana,AjiranaWalemavuMhe.JenistaMhagamaakipatataarifayamaendeleoyaujenziwamakaziyawatumishi wake kutokakwamkuuwaUjenzikutokaMamlakayaUstawishajiwamakaomakuu(CDA) Bw.Bago Francis ambao waondowanasimamiaukarabatiwamakazihayo.
PichanaDaudiManongi-MAELEZO.

……….
MWEZI HUU.
Na DaudiManongi-MANONGI
Waziri waNchiOfisiya Waziri MkuuSera,Bunge,Kazi,Vijana,AjiranaWalemavuMhe.JenistaMhagamaamemwagizamkandarasianayesimamiaukarabatiwanyumbawatakazoishiwatumishi wakekukabidhinyumbahizoifikapotarehe 28 Mwezihuu.
Ameyasemahayowakatiakikaguaukarabatiwamakaziyawatumishi wake yaliyopoeneo la kikuyu mkoani Dodoma yanayosimamamiwanaMamlakayaUstawishajiwamakaomakuu Dodoma(CDA).
“Kama wotemnakumbukaagizo la mheshimiwa Waziri mkuukwambakufikiamweziFebruarimwakaniMawaziriwote,ManaibuWaziri,MakatibuwakuunaManaibu wake pamojanasehemuyawatumishiwachachewakilawizaralazimawawewameshafika Dodoma naleotupohapakuhakikishamiundombinuikosawatayarikwakaziambayotunatakakuifanyatukiwahapa Dodoma,”AlisemaMhe.Mhagama
Aidhaamesemakuwanyumbahizozimefikiakatikahatuanzurisananahivyoikifikafebruariwataanzakuhamiakamailivyoagizwa.
Pia Waziri MhagamaamesemakuwaUjenziwamakaziya Waziri Mkuu pia yamefikiahatuanzuriambapokwasasawanakamilishauwekwajiwatenki la majiambalolitasaidiakuhifadhilitalakimbilikwasikukwaajiliyamatumiziyakilasikuna pia ujenziwabarabarambilizinazofikaOfisiya Waziri Mkuumkandarasiameshakamilishaujenziwabarabarahizotayarikwamatumizi.
Mhe.MhagamaamewahakikishiawatanzanianaSerikalikwaUjumlakuwakufikiaMweziFebruariwatahamia Dodoma ilikukamilishaagizo la raiswetuwaawamuyatanona pia kukamilishandotoyamwalimuNyerereyakuihamishaSerikali Dodoma.

No comments :

Post a Comment