Vijana
wa Madrasat Muhajrina ya Kinondoni wakiwaongoza wahitimu kwa kaswida,
kuelekea kwenye viwanja vya mahafali, Sekondari na Chuo cha Ualimu cha
Al Haramain jijini Dar es Salaam hivi karibuni.
Vijana wa Madrasat Muhajrina wakitumbuiza kwa kaswida, wakati wakiwaongoza wahitimu kuelekea kwenye viwanja vya mahafali.
Mgeni
rasmi katika mahafali ya 28 ya Shule ya Sekondari ya Al Haramain na ya
Kwanza ya ngazi ya Cheti kwa Walimu wa Shule za Msingi ya Chuo cha Al
Haramain, Imam Mkuu wa Msikiti wa Al Maamur na Mjumbe wa Baraza la
Ulamaa, Sheikh Issa Othman (katikati), akiongozwa na Mkuu wa Chuo,
Suleiman Urassa (kushoto) na Mkuu wa Sekondari ya Al Haramain, Nuhu
Jabir (kulia), wakati wa mahafali hayo jijini Dar es Salaam hivi
karibuni.
Wahitimu wa Ualimu Elimu ya Awali, ngazi ya Cheti, wakiingia kwenye viwanja vya mahafali hayo.
Wahitimu wa Ualimu Elimu ya Awali ngazi ya Cheti, wakielekea kwenye viwanja vya mahafali.
Wahitimu
wa Kidato cha Nne wa Shule ya Sekondari ya Al Haramain, wakiwa kwenye
gwaride la kuingia kwenye viwanja vya mahafali hayo.
Wahitimu wa Ualimu na wa Kidato cha Nne wakiingia kwenye viwanja vya mahafali hayo.
Wahitimu
wa Ualimu, Ngazi ya Stashahada ya Ualimu wa Elimu ya Msingi, wakiwa
wamekaa sehemu yao, wakati wa mahafali yao hayo hivi karibuni.
Wahitimu wa Ngazi ya Cheti, Elimu ya Awali, wakiwa katika sehemu yao.
Wahitimu ngazi ya cheti wa Ualimu wa Elimu ya Awali, wakifuatilia matukio mbalimbali wakati wa mahafali yao hayo.
Wahitimu ngazi ya Stashahada ya Ualimu wa Elimu ya Msingi, wakifuatilia matukio mbalimbali wakati wa mahafali yao hayo.
Mgeni
rasmi katika mahafali ya 28 ya Shule ya Sekondari ya Al Haramain na ya
Kwanza ngazi ya Cheti kwa Walimu wa Shule za Msingi ya Chuo cha Al
Haramain, Imam Mkuu wa Msikiti wa Al Maamur na Mjumbe wa Baraza la
Ulamaa, Sheikh Issa Othman (katikati), akiwa na Mkuu wa Chuo, Suleiman
Urassa (kulia) na Mkuu wa Sekondari ya Al Haramain, Nuhu Jabir
(kushoto), wakichua nafasi zao kwenye meza kuu wakati wa mahafali hayo.
Mmoja wa Walimu wa Chuo cha Dini cha Al Haramain, Ramadhan Pazi, akisoma dua ya ufunguazi wa mahafali hayo.
Baadhi ya wahitimu wa kidato cha nne wakiwa wameketi katika sehemu yao.
Mhitimu wa Kidato cha nne, akisoma Qur’an, Suratul Waatin, wakati wa ufunguzi wa mahafali hayo.
Mhitimu wa Kidato cha nne, akitoa tafsiri ya Suratu Watin, iliyosomwa katika ufunguzi wa mahafali hayo.
Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Al Haramain, Mwalimu Nuhu Jabir, akiwakaribisha wageni mbalimbali waliohuduria mahafali hayo.
Wahitimu wa Kidato cha nne, Jokha Ayoub (kushoto) na Hafsa Omar (wa pili kulia), wakisoma utenzi, wakati wa mahafali yao hayo.
Wahitimu
wa Ualimu wa ngazi ya Stasha ya Ualimu wa Elimu ya Msingi, Hawa Hassan
(kushoto) na Sofia Juma wakisoma risala ya wahitimu wa ngazi hiyo,wakati
wa mahafali yao hayo.
Mhitimu wa Kidato cha Nne, Sada Ramadhan, akisoma risala ya wahitimu hao, katika mahafali hayo.
Naibu
Katibu Mkuu wa Baraza la Waislamu Tanzania (Bakwata), upande wa
Utawala, Salim Abeid, wamiliki wa Shule na Chuo cha Al Haramain,
akizungumza, wakati akiliwakilisha baraza hilo,katika mahafali hayo.
Mkuu
wa Chuo cha Ualimu cha Al Haramain, Mwaalim Suleiman Urassa,
akizungumza wakati wa mahafali hayo, jijini Dar es Salaam hivi karibuni.
Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Al Haramain, Mwalimu Nuhu Jabir, akitoa taarifa ya shule hiyo, wakati wa mahafali hayo.
Mgeni
rasmi katika mahafali hayo, Imam Mkuu wa Msikiti wa Al Maamur na Mjumbe
wa Baraza la Ulamaa, Sheikh Issa Othman, akitoa hotuba yake, wakati wa
mahafali hayo hivi karibuni.
Wazazi
na wageni mbalimbali waliohudhuria mahafali hayo, wakimsikiliza mgeni
rasmi, Imam Mkuu wa Msikiti wa Al Maamur na Mjumbe wa Baraza la Ulamaa,
Sheikh Issa Othman, alipokuwa akitoa hotuba yake.
Mgeni
rasmi katika mahafali hayo, Imam Mkuu wa Msikiti wa Al Maamur na Mjumbe
wa Baraza la Ulamaa, Sheikh Issa Othman, akisisitiza jambo, wakati
akitoa hotuba yake, wakati wa mahafali hayo.
Mwalimu wa Taaluma, Rashid Kassim akizungumza kabla ya mgeni rasmi kuanza kukabidhi vyeti kwa wahitimu.
Mwanafunzi
bora katika nidhamu Hafsa O. Abdallah, akikabidhiwa cheti cha kuhitimu
kidato cha nne na mgeni rasmi, Sheikh Issa Othman.
Mwanafunzi Bora katika usafi, Mbaraka Salmini, akiabidhiwa cheti na mgeni rasmi Sheikh Issa Othman.
Mgeni
rasmi, Imamu Mkuu wa Msikiti wa Al Maamur, Upanga jijini Dar es Salaam,
Sheikh Issa Othman, akimkabidhi cheti mwanafunzi bora katika
mahudhurio, Ahmed Said. Wa pili kulia ni Mkuu wa shule hiyo, Mwalimu
Nuhu Jabir.
Mgeni
rasmi, Imamu Mkuu wa Msikiti wa Al Maamur, Upanga jijini Dar es Salaam
na Mjumbe wa Baraza la Maulamaa, Sheikh Issa Othman, akimkabidhi cheti
mwanafunzi bora wa somo la Fisikia (Physics), Suhaila Is-haaq.
Mwanafunzi Bora katika somo la Kiingereza, Habib Tajdin, akiabidhiwa cheti na mgeni rasmi Sheikh Issa Othman.
Mhitimu wa kidato cha nne, Faiza Wililo, akiabidhiwa cheti na mgeni rasmi Sheikh Issa Othman.
Mhitimu Zuhura Abdallah wa Ngazi ya Cheti wa Elimu ya Awali, akipokea cheti chake kutoka kwa mgeni rasmi, Sheikh Issa Othman.
Mhitimu Tabu Ramadhan wa Ngazi ya Cheti wa Elimu ya Awali, akipokea cheti chake kutoka kwa mgeni rasmi, Sheikh Issa Othman.
Mhitimu Athuman Nduli wa Ngazi ya Cheti wa Elimu ya Awali, akipokea cheti chake kutoka kwa mgeni rasmi, Sheikh Issa Othman.
Mhitimu Emmanuel Charles wa Ngazi ya Cheti wa Elimu ya Awali, akipokea cheti chake kutoka kwa mgeni rasmi, Sheikh Issa Othman.
Mhitimu Nkumi Hussein wa Ngazi ya Cheti wa Elimu ya Awali, akipokea cheti chake kutoka kwa mgeni rasmi, Sheikh Issa Othman.
Mkuu
wa Chuo, Mwaalimu Suleiman Urassa (kulia) na Mkuu wa Sekondari ya Al
Haramain Mwalimu Nuhu Jabir, wakijadili jambo mara baada ya kumalizika
mahafali hayo
No comments :
Post a Comment