Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Taifa
Shaka Hamdu Shaka (MNEC)pamoja na Viongozi wa ngazi ya mkoa Uvccm
akipanda kivuko cha MV RUVUVU wilayani Ngara akielekea katika Mpaka wa
boda ya RUSUMO.
Safari ikiendelea kuvuka mto
RUVUVU Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Taifa Shaka Hamdu Shaka (MNEC)akizungumza
na Mwenyekiti wa UVCCM Wilaya ya ngara pembeni yake Ndg:Faris Mohammed
Afsa Forodha katika kituo cha
Boda ya Mpaka wa Rusumo unao tenganisha Nchi ya Tanzania na Rwanda
akimkaribisha Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Taifa Shaka Hamdu Shaka (MNEC) na
kutoa Ufafanuzi juu ya Maswala Mbali mbali katika boda hiyo mara baada
ya kuwasili katika Ofisi izo.
Mkuu wa Wilaya ya Ngara Ndg Luten
Kanal Michael Mtenjele akitolea Ufafanuzi wa Maswala Mbali mbali yanayo
Wakabili Ma Afsa katika Boda ya Rusumo Mpaka wa Nchi ya Tanzania na
Rwanda.
Kaimu Katibu Idara ya Hamasa,Sera
,Utafiti na Mawasiliano UVCCM Taifa akizungumza kumkaribisha Katibu
Mkuu UVCCM Taifa Shaka Hamdu Shaka kuzungumza na Viongozi katika Boda
ya RUSUMO.
Katibu Mkuu UVCCM Taifa Shaka Hamdu Shaka akizungumza katika kikao hicho
Afsa Forodha katika kituo cha
Boda ya Mpaka wa Rusumo akimuonyesha Ndg Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Taifa
Shaka Hamdu Shaka na Msafara alioambatana nao Mandhari ya maeneo katika
eneo la Mpaka wa Boda ya Rusumu.
Afsa Forodha katika kituo cha
Boda ya Mpaka wa Rusumo akimuonyesha Ndg Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Taifa
Shaka Hamdu Shaka Mandhari katika eneo la Daraja la Mpaka wa Boda ya
Rususmu linalo tenganisha Nchi ya Tanzania na Rwanda.
Ndg Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Taifa
Shaka Hamdu Shaka akifafanuliwa Jambo na Inspekta Tom Obonyo Mkuu wa
kituo Cha Rusumu kuhusu changamoto mbali mbali zinazo tokea katika Mto
Rusumo Uliopo katika mpaka wa Boda ya Rusumu
Msafara wa Ndg Kaimu Katibu Mkuu
UVCCM Taifa Shaka Hamdu Shaka ukivuka daraja la Mpaka wa Boda ya Rusumo
Mara baada ya kutembelea maeneo mbali mbali ya mpaka huo na kuelekea
Wilayani Karagwe katika muendelezo wa ziara ya siku 8 Mkoani Kagera ya
kuimarisha uhai wa chama, kukagua miradi ya maendeleo inayotekelezwa
kwa kufuata Ilani ya CCM 2015_2020
No comments :
Post a Comment