Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Kamishna Diwani Athumani
kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Kagera (RAS) Ikulu jijini Dar es salaam
leo Novemba 22, 2016.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimpongeza Kamishna Diwani Athumani
baada ya kumuapisha kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Kagera (RAs) Ikulu
jijini Dar es salaam leo Novemba 22, 2016.
Katibu wa Maadili ya Viongozi – Siasa, Bw. Waziri Kipacha akimuongoza Kamishna
Diwani Athumani kula kiapo cha uadilifu cha viongozi wa umma baada
ya kuapishwa kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Kagera (RAs) Ikulu jijini
Dar es salaam leo Novemba 22, 2016.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli katika picha ya pamoja na Kamishna
Diwani Athumani pamoja na viongozi waandamizi wa serikali na vyombo vya
ulinzi na usalama umma baada ya Kamishna Diwani kuapishwa kuwa Katibu
Tawala wa Mkoa wa Kagera (RAs) Ikulu jijini Dar es salaam leo Novemba
22, 2016.
PICHA NA IKULU
No comments :
Post a Comment