Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akisalimiana na Waziri wa Biashara,Viwanda na Masoko Mhe,Amina Salum Ali
alipowasili kufungua Kongamano la Biashara baina ya Comoro na Tanzania
katika ukumbi wa Sea Cliff Mangapwani Wilaya ya Magharibi “A” Unguja
leo,[Picha na Ikulu.] 19/11/2016.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akifuatana na
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe,Riziki Pembe Juma (kulia) na
Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe,Ayoub Mohamed Mahamoud pamoja na
Viongozi mbali mbali alipowasili kufungua Kongamano la Biashara baina
ya Comoro na Tanzania katika ukumbi wa Sea Cliff Mangapwani Wilaya ya
Magharibi “A” Unguja leo,[Picha na Ikulu.] 19/11/2016.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na Waziri wa Mambo ya Nje wa
Comoro Mhe,Mohamed Bacar Dossar (katikati) wakisimama pamoja na Viongozi
wengine wakati Wimbo wa Taifa wa Tanzania na Comoro ukipigwa wakati wa
ufunguzi wa Kongamano la Biashara baina ya Comoro na Tanzania katika
ukumbi wa Sea Cliff Mangapwani Wilaya ya Magharibi “A” Unguja
leo,[Picha na Ikulu.] 19/11/2016.
Baadhi ya Wafanyabiashara wa
Visiwa vya Comoro wakisimama ulipopigwa Wimbo wa Taifa wa Tanzania na
Comoro katika ufunguzi wa Kongamano la Biashara baina ya Comoro na
Tanzania,lililofunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika ukumbi wa Sea
Cliff Mangapwani Wilaya ya Magharibi “A” Unguja leo,[Picha na Ikulu.]
19/11/2016.
Waziri wa Biashara,Viwanda na
Masoko Mhe,Amina Salum Ali alipokuwa akitoa maelezo katika Kongamano la
Biashara baina ya Comoro na Tanzania lililofanyika leo katika ukumbi wa
Sea Cliff Mangapwani Wilaya ya Magharibi “A” Unguja leo,mgeni rasmi
akiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali
Mohamed Shein (wa nne katikati), [Picha na Ikulu.] 19/11/2016.
Baadhi ya
Viongozi na Maafisa mbali mbali wa taasisi za Serikali na Binafsi
wakikwa ufunguzi wa Kongamano la Biashara baina ya Comoro na
Tanzania,lililofunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) katika ukumbi wa Sea
Cliff Mangapwani Wilaya ya Magharibi “A” Unguja leo,[Picha na Ikulu.]
19/11/2016.
Baadhi ya Viongozi na Maafisa
mbali mbali wa taasisi za Serikali na Binafsi wakiwa ufunguzi wa
Kongamano la Biashara baina ya Comoro na Tanzania,lililofunguliwa na
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein (hayupo pichani) katika ukumbi wa Sea Cliff Mangapwani Wilaya ya
Magharibi “A” Unguja leo,[Picha na Ikulu.] 19/11/2016.
Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akitoa hutuba yake ya ufunguzi wa Kongamano la Biashara baina ya Comoro
na Tanzania,kwa Viongozi na Wafanyabishara mbali mbali lililofanyika
katika ukumbi wa Sea Cliff Mangapwani Wilaya ya Magharibi “A” Unguja
leo,[Picha na Ikulu.] 19/11/2016.
Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akitoa hutuba yake ya ufunguzi wa Kongamano la Biashara baina ya Comoro
na Tanzania,kwa Viongozi na Wafanyabishara mbali mbali
lililofanyika katika ukumbi wa Sea Cliff Mangapwani Wilaya ya Magharibi
“A” Unguja leo,[Picha na Ikulu.] 19/11/2016.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipokuwa akiteta jambo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Visiwa vya Comoro Mhe,Mohamed Bacar Dossar wakati wa ufunguzi wa Kongamano la pili la Biashara baina ya Tanzania na Comoro lililofanyika leo katika ukumbi wa Sea Cliff Mangapwani Wilaya ya Magharibi “A” Unguja,[Picha na Ikulu.] 19/11/2016.
Waziri wa Mambo ya Nje wa Visiwa vya Comoro Mhe,Mohamed Bacar Dossar alipotoa maelezo wakati wa ufunguzi wa Kongamano la pili la Biashara baina ya Tanzania na Comoro lililofanyika leo katika ukumbi wa Sea Cliff Mangapwani Wilaya ya Magharibi “A” Unguja na kufunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati),[Picha na Ikulu.] 19/11/2016.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) alipotembelea maonesho ya Wafanyabiashara mbali mbali baada ya kulifungua Kongamano la siku moja kuhusu Biashara baina ya Tanzania na Comoro katika ukumbi wa Sea Cliff Mangapwani Wilaya ya Magharibi “A” Unguja leo,[Picha na Ikulu.] 19/11/2016.
No comments :
Post a Comment