Kamishna
Msaidizi wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Maria Kulaya (kushoto) na Mrakibu
Msaidizi wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Puyo Nzalayaimisi wakimkabidhi msaada
wa soksi na kofia mzazi aliyejifungua mtoto njiti, Mariam Juma katika Hospitali
ya Rufaa Mkoa wa Temeke, jijini Dar es Salaam. Jeshi la Zimamoto lilianzimisha
Siku ya Mtoto Njiti Duniani kwa kuitembelea hospitali hiyo ambapo walitoa
zawadi mbalimbali kwa watoto njiti, watoto wanaoumwa na watoto waliozaliwa kwa
njia ya operesheni. (PICHA NA JESHI LA
ZIMAMOTO NA UOKOAJI)

Askari
wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Rosy Meena akitoa zawadi ya soksi na kofia kwa
mtoto aliyezaliwa na matatizo ya kiafya katika Hospitali ya Rufaa Mkoa wa
Temeke, jijini Dar es Salaam. Jeshi la Zimamoto lilianzimisha Siku ya Mtoto
Njiti Duniani kwa kuitembelea hospitali hiyo ambapo walitoa zawadi mbalimbali
kwa watoto njiti, watoto wanaoumwa na watoto waliozaliwa kwa njia ya operesheni
Mganga
Mkuu wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Temeke, Dk Aman Malima, akiwapa elimu
Kamishna Msaidizi wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Maria Kulaya (kulia) na
Mrakibu Msaidizi wa Jeshi hilo, Puyo Nzalayaimisi kuhusu watoto njiti
wanavyozaliwa, kabla ya Maafisa hao wa Jeshi pamoja na askari mbalimbali
waliofika hospitalini hapo kwenda kuwatembelea wodini watoto njiti, watoto
waliozaliwa na matatizo mbalimbali pamoja na watoto waliozaliwa salama katika
hopsitali hiyo. Jeshi hilo limeanzimisha Siku ya Mtoto Njiti Duniani kwa kutoa
misaada katika hospitali hiyo kwa wazazi waliojifungua watoto hao
Kamishna
Msaidizi wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Maria Kulaya (watano kushoto mstari
wa mbele), Mrakibu Msaidizi wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Puyo Nzalayaimisi
(watatu kulia) wakiwa katika picha ya pamoja na maafisa na askari wa Jeshi hilo
mara baada ya kumaliza kutoa misaada mbalimbali kwa watoto njiti, watoto
wanaoumwa na watoto waliozaliwa kwa njia ya operesheni katika Hospitali ya
Rufaa Mkoa wa Temeke, jijini Dar es Salaam. Jeshi la Zimamoto lilianzimisha
Siku ya Mtoto Njiti Duniani kwa kuitembelea hospitali hiyo ambapo walitoa.
No comments :
Post a Comment