Mmoja wa Simba akiwa katika Hifadhi ya Taifa ya Katavi
Baadhi ya Mamba wakiwa wamepumzika katika hifadhi ya Taifa ya Katavi
Hawa ni Punda milia wakiwa katika Hifadhi ya Taifa ya Katavi
Kama kibao kinavyo onekana hili ni Eneo la Tambiko ambapo watu huja kusali na kutoa sadaka mbalimbali
Simba akiwa na mzoga wa Kiboko
Twiga akiwa katika hifadhi ya Taifa ya Katavi
Na Walter Mguluchuma wa Katavi yetu Blog
Hifadhi ya Taifa ya Katavi inapatikana kusini Magharibi mwa
Tanzania karibu na Ziwa Tanganyika katika Wilaya za Mpanda
,Tanganyika na Mlele Mkoa wa Katavi inapatikana katika
latitude 6.63.7.34 kusini na na longitude 3.74.31.84 Mashariki.
Meneja wa Idara ya
Pato la Taifa kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) Daniel Masolwa
(kushoto), akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu
maadhimisho ya Siku ya Takwimu Afrika yatakayofanyika kesho Ukumbi
wa Makumbusho ya Taifa mkabala na Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM).
Kulia ni Ofisa Habari wa Idara Habari Maelezo, Beatrice Lyimo.
Mkutano na wanahabari ukiendelea.
Na Dotto Mwaibale
WAZIRI wa Fedha Dk. Philip Mpango
anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Maadhimisho ya Siku ya Takwimu
Afrika yatakayofanyika Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa mkabala na Chuo cha
Usimamizi wa Fedha (IFM)
No comments :
Post a Comment