Wednesday, November 23, 2016

BALOZI WA CANADA AMTEMBELEA WAZIRI UMMY MWALIMU

1
Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Ummy Mwalimu akiongea na Balozi wa Canada nchini Tanzania Ian Myles ofisini kwake
2
Balozi Ian Myles na Waziri Ummy Mwalimu wakifurahia mazungumzo hayo mara baada ya kukutana kwenye ofisi ya Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto(picha na Wizara ya Afya)
3
Waziri Ummy Mwalimu akiongea na Balozi Ian Myles (kushoto),kulia mwa Balozi ni ofisa wa Ubalozi wa Canada  Susan Steffen

No comments :

Post a Comment