Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi wakati
alipowasili katika uwanja wa Ndege wa Karume Pemba leo akitokea Unguja
kwa ziara kikazi kisiwani humo akiwa na ujumbe aliofuatana nao akiwemo
Mama Mwanamwemma Shein,[Picha na Ikulu.] 10/09/2016.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein na MkeweMama Mwanamwema Shein
wakisalimiana na Viongozi mbali mbali wakati walipowasili katika Uwanja
wa Ndege wa Karume Pemba leo kwa ziara maalum kisiwani humo,[Picha na
Ikulu.] 10/09/2016.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akipata maelezo
kutoka kwa Kamanda wa KMKM Pemba wakati alipofika katika kituo kikuu cha
karafuu cha ZSTC Wete Pemba kuangalia karafuu zilizokamatwa katika
Bandari ya Tondooni Mkumbuu Wilaya ya Micheweni Kaskazini
Pemba,alipofanya ziara maalum leo,(wa pili kulia) Waziri wa
Biashara,Viwanda na Masoko Bi.Amina Salum Ali, [Picha na Ikulu.]
10/09/2016.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kulia) akipata maelezo
kutoka kwa Afisa Mdhamini wa Wizara ya Biashara,Viwanda na Masoko
Nd,Abdalla Ali Ussi (kushoto) alipotembelea kituo kikuu cha karafuu cha
ZSTC Wete Pemba kuangalia karafuu zilizokamatwa katika Bandari ya
Tondooni Mkumbuu Wilaya ya Micheweni Kaskazini Pemba leo alipofanya
ziara maalum, [Picha na Ikulu.] 10/09/2016.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akibadilishana mawazo
na Waziri wa Biashara,Viwanda na Masoko Bi.Amina Salum Ali (katikati)
wakati alipotembelea kituo kikuu cha karafuu cha ZSTC Wete Pemba baada
ya kuangalia karafuu zilizokamatwa katika Bandari ya Tondooni Mkumbuu
Wilaya ya Micheweni Kaskazini Pemba,akiwa katika ziara ya kikazi
kisiwani humo,(kulia) Katibu Mkuu Wizara ya Biashara,Viwanda na Masoko
Nd,Bakari Haji Bakari, [Picha na Ikulu.] 10/09/2016.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akifuatana na Waziri
wa Habari,Utalii,Utamaduni na Michezo Rashid Ali Juma (wa pili kushoto)
wakati alipotembelea Uwanja wa Mpira wa Gombani kuangalia matengenezo
makubwa yaliyomalizika kwa utiaji wa (Tatan) ambapo sasa Uwanja huo
utaweza kutumika kwa shuhuli mbali mbali za michezo ikiwemo
Riadha,(kushoto) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe,Issa Haji Ussi (Gavu), [Picha na Ikulu.] 10/09/2016.
No comments :
Post a Comment