Mwenyekiti
wa Jumuiya ya Nchi za Afrika Mashariki Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza
kikao cha ndani
kabla ya
kuanza kwa mkutano wa 17 wa dharula wa wakuu wa jumuiya hiyo katika ukumbi wa
mikutano wa Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 8, 2016
Naibu Rais
wa Kenya Mhe William Rutto akiwasili tayari kwa mkutano wa 17 wa dharula wa
wakuu wa Jumuiya
hiyo katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 8,
2016.
Mwenyekiti
wa Jumuiya ya Nchi za Afrika Mashariki Rais Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein muda mfupi kabla ya kuanza kwa
mkutano wa 17 wa dharula wa
wakuu wa
jumuiya hiyo katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es salaam leo
Septemba 8, 2016
Dkt. Shein akiwasili
Mwenyekiti
wa Jumuiya ya Nchi za Afrika Mashariki Rais Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na mjumbi wa Burundi kabla ya kuanza kwa mkutano wa 17 wa dharula
wa wakuu wa jumuiya hiyo katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es
salaam leo Septemba 8, 2016
Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein
akisalimiana na Rais Paul Kagame wa Rwanda muda mfupi kabla kabla ya kuanza kwa
mkutano wa 17 wa dharula wa wakuu wa jumuiya hiyo katika ukumbi wa mikutano wa
Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 8, 2016.
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Nchi za Afrika Mashariki Rais Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na wa Burundi Waziri wa Mambo ya Nje wa Burundi Mhe. Alain Nyamitwe muda mfupi kabla ya kuanza kwa mkutano wa 17 wa dharula wa wakuu wa jumuiya hiyo katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 8, 2016. |
Mwenyekiti wa Jumuiya
ya Nchi za Afrika Mashariki Rais Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na
Katibu Mkuu wa Jumuiya Bw. Liberat Mfumukeko muda mfupi kabla ya
kuanza kwa mkutano wa 17 wa dharula wa wakuu wa jumuiya hiyo katika ukumbi wa
mikutano wa Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 8, 2016
Mwenyekiti wa Jumuiya
ya Nchi za Afrika Mashariki Rais Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na
Mwakilishi wa Sudan ya Kusini muda mfupi kabla ya
kuanza kwa mkutano wa 17 wa dharula wa wakuu wa jumuiya hiyo katika ukumbi wa
mikutano wa Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 8, 2016
Mwenyekiti
wa Jumuiya
ya Nchi za Afrika Mashariki Rais Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana
na wa Burundi Waziri wa Mambo ya Nje wa Burundi Mhe. Alain
Nyamitwe muda mfupi kabla ya kuanza kwa mkutano wa 17 wa dharula wa
wakuu
wa jumuiya hiyo katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es salaam
leo
Septemba 8, 2016
Rais Mstaafu Mhe
Benjamin Mkapa akibadilishana mawili matatu na Rais Paul Kagame wa Rwanda muda
mfupi kabla kabla ya kuanza kwa
mkutano wa 17 wa dharula wa wakuu wa jumuiya hiyo katika ukumbi wa mikutano wa
Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 8, 2016. Kushoto ni Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein.
Rais
Yoweri Kaguta Museveni akisalimiana na Naibu Rais wa Kenya Mhe William Rutto
akiwasili kabla ya kuanza kwa mkutano wa 17 wa
dharula wa wakuu wa jumuiya hiyo katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu jijini Dar
es salaam leo Septemba 8, 2016.(PICHA NA IKULU)
Mwenyekiti wa Jumuya ya Afrika Mashariki Rais Dkt John Pombe Magufuli akitambulisha wasaidizi wake kwa Rais wa Uganda Mhe Yoweri Kaguta Museveni mgeni wake huyo alipowasili Ikulu Dar es salaam Septemba 7, 2017 leo jion tayari kwa mkutano wa Viongozi wa jumuiya hiyo hapo kesho
Mwenyekiti
wa Jumuya ya Afrika Mashariki Rais Dkt John Pombe
Magufuli akimkaribisha mgeni wake, Rais wa Uganda, Yoweri Museveni,
(mwenye mpama), Ikulu jijini Dar es Salaam usiku huu Septemba 7, 2016.
Rais Museveni yuko nchini kuhudhuria mkutano wa wakuu wa nchi za Afrika
Mashariki unaotarajiwa kufanyika Ikulu Alhamisi Septemba 8, 2016. (PICHA
NA IKULU)
Mwenyekiti wa Jumuya ya Afrika Mashariki Rais Dkt John Pombe
Magufuli akipeana mikono Rais wa Uganda Mhe Yoweri Kaguta Museveni mgeni wake huyo
alipowasili Ikulu Dar es salaam Septemba 7, 2017 leo jion tayari kwa
mkutano wa Viongozi wa jumuiya hiyo hapo kesho
Mwenyekiti wa Jumuya ya Afrika Mashariki Rais Dkt John Pombe
Magufuli katika mazungumzo na Rais wa Uganda Mhe Yoweri Kaguta Museveni
mgeni wake huyo
alipowasili Ikulu Dar es salaam Septemba 7, 2017 leo jion tayari kwa
mkutano wa Viongozi wa jumuiya hiyo hapo kesho
Mwenyekiti wa Jumuya ya Afrika Mashariki Rais Dkt John Pombe Magufuli akitambulisha wasaidizi wake kwa Rais wa Uganda Mhe Yoweri Kaguta Museveni mgeni wake huyo alipowasili Ikulu Dar es salaam Septemba 7, 2017 leo jion tayari kwa mkutano wa Viongozi wa jumuiya hiyo hapo kesho
IGP MANGU KUKABIDHIWA UENYEKITI WA SHIRIKISHO LA WAKUU WA MAJESHI YA POLISI KUSINI MWA AFRIKA (SARPCCO)
Mkuu wa wilaya Mh. Godwin Gondwe akisalimiana na mmoja wa wananchi wa Wilaya ya Handeni kabla ya zoezi la kutatua mgogoro wa mpaka. |
Mkuu wa wilaya ya Handeni wa kwanzakushoto akisoma ramani ya mwaka
2007 akiwa na viongozi na wananchi ili kujua mpaka upo sehemu gani.DC Gondwe amefanikiwa
kusuluhisha mgogoro wa mpaka uliodumu kwa muda mrefu akiwa ameambatana
na Wakurugenzi wa halmashauri zote mbili uliohusisha Kijiji cha
Kweditilibe cha Handeni vijijini na kitongoji cha makinda kilichopo
Handeni Mji.
RAMANI YA 2007 ndiyo iliyotumika
kusuluhisha mgogoro huo ambapo aliwaeleza wananchi kuwa ramani hiyo
ndiyo iliyotumika kuweka mipaka ya maeneo husika Tanzania nzima na
hakuna mwenye mamalaka ya kuibadili isipokua Raisi mwenye mamalaka ya
Ardhi ya Tanzania nzima.
MICHUANO YA OLIMPIKI WALEMAVU YAFUNGULIWA KWA SHAMRASHAMRA
Michuano ya Olimpiki 2016 kwa
walemavu wapatao 4,300 imefunguliwa kwa shamrashamra za aina yake
Jijini Rio nchini Brazil.
Tafauti ya michuano ya Olimpiki
iliyomalizika kukosa watazamaji wa kutosha michuano ya Olimpiki
walemavu inaonekana kujaa watazamaji kutokana na kuuzwa tiketi 2,000.
Kikundi kikitumbuiza wakati wa sherehe za ufuguzi wa michuano hiyo
Timu ya walemavu ya Tunisia ikiingia uwanjani kwa madaha
Timu ya walemavu ya Hispania ikiingia uwanjani kwa mbwembwe
Wachezaji walemavu wa Canada wakiingia uwanjani
No comments :
Post a Comment