RAIS DKT MAGUFULI APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO KUTOKA KWA MABALOZI WA CANADA, THAILAND NA AUSTRIA LEO IKULU DAR ES SALAAM
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipokea
hati ya utambulisho toka kwa Balozi wa Canada Mhe Ian Myles Ikulu jijini
Dar es salaam leo agosti 24, 2016
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli katika
mazungumzo baada ya kupokea hati ya utambulisho toka kwa Balozi wa
Canada Mhe Ian Myles Ikulu jijini Dar es salaam leo agosti 24, 2016
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akipokea
hati ya utambulisho toka kwa Balozi wa Thailand hapa nchini Mhe.
Prasottiporn Wetpraisait Ikulu jijini Dar es salaam leo agosti 24, 2016
No comments :
Post a Comment