Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali
Mohamed Shein (katikati) na Viongozi mbali mbali akiwepo Rais Mstaafu wa
Zanzibar Dk.Amani Abeid Karume (kushoto) wakisimama wakati Wimbo wa Taifa
Ukipigwa kabla ya kufungua Kongamamo
la 3 la Watanzania wanaoishi Nje ya Nchi
"Diaspora",katika ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Beach Resort leo Agosti 24, 2016. (PICHA NA
IKULU ZANZIBAR)
Waziri wa nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe,Issa Haji Ussi (Gavu) alipokuwa akitoa maelezo na madhumuni ya Kongamano la Watanzania wanaoishi Nje ya nchi "Diaspora"katika ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Beach Resort,ambalo limefunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
Wajumbe wa Kongamano la siku mbili la Watanzania wanaoishi Nje ya nchi
"Diaspora"katika ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar
Beach Resort,wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali
Mohamed Shein(hayupo pichani) alipotoa hutuba yake ya ufunguzi wa Kongamano
hilo lililofunguliwa leo

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein (kushoto) akisalimiana na Mkurugenzi wa Diaspora katika Wizara ya Nchi
Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Nd,Adila Vuai mara alipowasili
viwanja vya Hoteli ya Zanzibar Beach Resort leo kufungua Kongamamo la 3
la Watanzania wanaoishi Nje ya Nchi "Diaspora".
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein (kushoto) akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika
Mashariki Mhe,Dkt.Augustine Mahiga (kulia) mara alipowasili
viwanja vya Hoteli ya Zanzibar Beach Resort leo kufungua Kongamamo la 3
la Watanzania wanaoishi Nje ya Nchi "Diaspora
Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akisalimiana
na Mhe,waziri Mkuu Mstaafu na Balozi Salim Ahmed Salim,mara alipoingia
katika ukumbi wa Hoteli ya Zanzibar Beach Resort leo kufungua Kongamamo
la 3 la Watanzania wanaoishi Nje ya Nchi "Diaspora"
No comments :
Post a Comment