Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Naibu Waziri wa Ulinzi wa Zambia,
Christopher Mulenga baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Keneth
Kaunda uliopo Lusaka Mei 23, may 2016 ambako leo atamwakilisha Rais
John Magufuli kwenye mkutano wa Benki ya Maendeleo ya Afrika _ADB.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
MATUKIO KATIKA PICHA LEO KUTOKA BUNGENI, DODOMA
Naibu
Waziri, Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira ambaye pia ni
Mbunge Jimbo la Kisesa, Mhe. Luhaga Joelson Mpina (kushoto) akiwa
ameongozana na Mbunge wa CHADEMA Jimbo la Iringa Mjini, Mhe. Mchungaji
Peter Simon Msigwa wakielekea Bungeni kwa ajili ya vikao vya asubuhi
ndani ya bunge hilo leo 24 Mei, 2016.
Waziri
wa Nishati na Madini, Mhe. Sospeter Mwijarubi Muhongo akiwasili Bungeni
kwa jili ya kuhudhuria vikao vya bunge hilo leo 24 Mei, 2016 mjini
Dodoma.
Mbunge
wa CHADEMA Jimbo la Mikumi, Mhe. Joseph Leonard Haule akiwasili Bungeni
kwa jili ya kuhudhuria vikao vya bunge hilo leo 24 Mei, 2016 mjini
Dodoma.
Naibu
Waziri, Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Mb), Mhe. Eng. Edwin
Amandus Ngonyani (kushoto) akiwa ameongozana na Naibu Waziri, Wizara ya
Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Eng. Hamad Yusuf Masauni wakielekea ndani
ya Bunge kwa ajili ya vikao vya asubuhi vya bunge hilo leo 24 Mei, 2016.
No comments :
Post a Comment