Saturday, February 25, 2023

WAZIRI NCHEMBA AMPOKEA RAIS WA BENKI YA MAENDELEO BARANI AFRIKA AFDB

Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), akisalimiana na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Dkt. Akinwumi Adesina alipowasili nchini katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam, kwa ziara ya kikazi. 
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, (Mb), akiteta jambo na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika, AfDB,  Dkt. Akinwumi Adesina alipowasili nchini katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam, kwa ziara ya kikazi. 

 
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), mwenye skafu ya Bendera ya Taifa, akiwa katika picha na Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB),  Dkt. Akinwumi Adesina ambaye yupo nchini kwa ziara ya kikazi, pamoja na ujumbe kutoka AfDB na Tanzania, baada ya kuwasili , jijini Dar es Salaam. 

No comments :

Post a Comment