Thursday, February 24, 2022

WAZIRI MKUU MAJALIWA AMUWAKILISHA RAIS SAMIA MKUTANO WA ROM NCHINI CONGO DRC

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameshiriki kwa niaba ya Rais Samia Suluhu Hassan mkutano wa kumi wa wakuu wa nchi wa Serikali zinazohusika na mpango wa Amani, Usalama na Ushirikiano nchini DRC na kwenye ukanda wa maziwa makuu unaofanyika leo, Februari 24, 2022 jijini Kinshasa, DRC



 

No comments :

Post a Comment