Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza linatoa wito kwa baadhi ya watu kuacha kutumia mwanvuri wa dini kuwaadaa wananchi wawapo na matatizo ya kijamii hususani magonjwa na hali ngumu ya maisha. Pia Jeshi la Polisi linawashukuru wananchi ambao waliona viashiria vya kinyonyaji na kutoa taarifa Polisi.
IMETOLEWA NA;-
Ramadhan Ng’anzi – SACP
KAMANDA WA POLISI (M) MWANZA
ORODHA YA MAJINA YA WATUHUMIWA WA MAKOSA YA UGAIDI WALIOACHIWA HURU.
1. BOOKEM MOHAMED ALLY @ ABUU AISHA, MIAKA 44, MKAZI WA MABATINI, MFANYABIASHARA.
2. MUSSA JOSEPH YAREDI @ MSUKUMA, MIAKA 36, MKAZI WA SENGEREMA.
3. ALLY HAMIS RAMADHANI @ GULABAA, MIAKA 35, and MKAZI WA MKOLANI.
4. RAJABU JUMA MZEE, MIAKA 37, MWALIMU BISMACK.
5. SALUM CLEOPHACE LWABUYAGALA, MIAKA 45, DEREVA, MKAZI WA SILARI MPAKANI.
6. MOHAMEDI IBRAHIMU HASSAN, MIAKA 50, MWALIMU SENGEREMA.
7. MOHAMED HASSAN TINDE, MIAKA 42, MKAZI WA SENGEREMA
8. OMARY ABDALLAH KISANDA, MIAKA 36, MKAZI WA KAHAMA.
9. AMIN AMIR MSHALABA, MIAKA 48, DEREVA, MKAZI WA KILIMAHEWA.
10. OMARY FARIDI OMARY, MIAKA 45, MKAZI WA KISEKE
11. KYOKA HARUNA KISOBWA, MIAKA 58, MKAZI WA KILIMAHEWA.
12. RAJABU MASHUHURI MOHAMED@ BAGDADI, MKAZI WA KILIMAHEWA.
13. ABDULAHIM ABDULAHER LWAMBIZI, MIAKA 32, MKAZI WA NYASAKA
14. SAIDI MUSTAFA RAMADHANI, MIAKA 27, MKAZI WA NYEGEZI
15. ABDALLAH ABA KABINYA, MIAKA 29, MKAZI WA KILOLELI.
16. BARAKA RAJABU ALLY, MIAKA 29, MKAZI WA NYEGEZI.
17. NASSAR JEREMIAH KAPAMA, MIAKA 30, MKAZI WA DAR ES SALAAMU.
18. SHABANI CLAUD SOSPETER@BABUU, MIAKA 29, DEREVA, MKAZI WA IGOGO.
19. MOHAMED RASHIDI HUSSEN, MIAKA 47, MKAZI WA SINGIDA
20. HASSAN YASIN@ SIMUNYANGE, MIAKA 32, MKAZI WA KITANGIRI
21. FADHIRI JUMANNE@ BALYANGA, MIAKA 31, DEREVA, MKAZI WA IGOGO.
22. MIRAJI ISSA@ KIKWEMBE, MIAKA 44, MKAZI WA NYANG’OMANGO
23. OMARI JUMA@HAMIS, MIAKA 31, FUNDI, MKAZI WA IGOGO.
24. ABDULHAKIMU RAMADHANI @HARUNA, MIAKA 46, MKAZI WA KITANGIRI.
25. MIRAJI HASSANI @ABDALAH, MIAKA 61, FUNDI UJENZI, MKAZI WA BUTIMBA.
26. SEFU JUMA @RAMADHANI @MAJEKI, MIAKA 69, DEREVA, MKAZI WA MAPANKINI.
27. YUSUPH BRIMANI @ GEOFREY @ MAPAMBANO, MIAKA 45, MKAZI WA MABATINI.
28. MAPINDUZI MAINGU @ MLANZE, MIAKA 45, MKAZI WA NYEGEZI.
29. MOHAMED HASSAN @ JUMA, MIAKA 25, MKAZI WA ISSENI
30. IBRAHIMU LUGANDYA @ KISANDU, MIAKA 39, MKAZI WA KATORO GEITA
31. KESSY SEFU @MOHAMMED, MIAKA 26, MKAZI WA KIRUMBA
32. ASHURA OTHUMANI@ LUKINDA, MIAKA 46, MKAZI WA ISENI NYEGEZI
33. ATHUMAN HASSANI @ JUMA, MIAKA 24, MKAZI WA NYEGEZI.
34. FRANK THABU @ KUZENZA, MIAKA 32, MKAZI WA KAYENZE GEITA
35. ABOOD YASINI @ MASUNGA, MIAKA 32, MFANYABIASHARA, MKAZI WA USHIROMBO
36. MATONDO MORONGO @ NG’HORO, MIAKA 27, MKAZI WA GEITA
No comments :
Post a Comment