Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Chemba ya Biashara, Viwanda na Kilimo ya Ubelgiji, Luxembourg, Afrika, Caribbean na Pacific (CBL-ACP), Brussels nchini Ubelgiji leo tarehe 17 Februari, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Katibu Mkuu wa Shirika la Forodha Duniani (WCO) Brussels nchini Ubelgiji leo tarehe 17 Februari, 2022.
Rais wa Chemba ya Biashara, Viwanda na Kilimo Tanzania (TCCIA) Paul Koyi akisaini Hati ya makubaliano na Makamu wa Rais wa Chemba ya Biashara, Viwanda na Kilimo ya Ubelgiji, Luxembourg, Afrika, Caribbean na Pacific (CBL-ACP) Amaury Luyckx leo tarehe 17 Februari, 2022.
Pages
Thursday, February 17, 2022
RAIS SAMIA AZUNGUMZA NA CHEMBA YA BIASHARA, VIWANDA NA KILIMO YA UBELGIJI, LUXEMBOURG, AFRIKA, CARIBBEAN NA PACIFIC (CBL-ACP), BRUSSELS NCHINI UBELGIJI
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
No comments :
Post a Comment