Thursday, February 3, 2022

Rais Samia Akutana Na Kuzungumza Na Mkurugenzi Mtendaji Wa International Finance Cooperation (IFC) Makhtar Sop Diop Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Mtendaji  wa International Finance Cooperation (IFC) Makhtar Sop Diop pamoja na Ujumbe alioambatana nao Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma leo tarehe 03 Februari, 2022.

 





Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji  wa International Finance Cooperation (IFC) Makhtar Sop Diop mara baada ya kuwasili Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma leo tarehe 03 Februari, 2022.

No comments :

Post a Comment