Thursday, February 3, 2022

BRELA YAHAMASISHA WAFANYABIASHARA KUJENGA UTAMADUNI WA KUSAJILI ALAMA ZA BIASHARA ILI KUTAMBULIKA KISHERIA

Msajili Msaidizi kutoka Wakala wa Usajili wa Leseni na Biashara ( BRELA) Vyonne Masele akiendelea kutoa huduma kwa wananchi wakati wakitoa huduma na elimu katika Viwanja vya Mliman City mkoani Dar es Salaam.

No comments :

Post a Comment