Monday, February 28, 2022

NAIBU WAZIRI KIKWETE APOKEA TAARIFA YA MIGOGORO ARDHI PWANI

 Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Ridhiwani Kikwete (katikati) akiwa katika kikao cha kupokea taarifa ya migogoro ya ardhi ya mkoa wa Pwani kilichofanyika leo jijini Dar es salaam.
Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Ridhiwani Kikwete akitoa maelekezo katika kikao cha kupokea taarifa ya migogoro ya ardhi ya mkoa wa Pwani kilichofanyika leo jijini Dar es salaam.

Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Ridhiwani Kikwete akisisitiza jambo katika kikao cha kupokea taarifa ya migogoro ya ardhi ya mkoa wa Pwani kilichofanyika leo jijini Dar es salaam.

Kamishna wa Ardhi Msaidizi Mkoa wa Pwani Bi. Lucy Kabyemera akiwasilisha taarifa ya migogoro ya ardhi ya Mkoa wa Pwani kwa Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Ridhiwani Kikwete, katika kikao kilichofanyika leo jijini Dar es salaam ikiwa ni maandalizi ya ziara ya utatuzi wa migogoro ya ardhi mkoani Pwani

No comments :

Post a Comment