By Citizen Reporter For Citizen Digital
Commercial banks are expected to end the drought on paying shareholder dividends next month with a turnaround expected in the upcoming full-year results.
About half of Kenyans with side businesses commonly referred to as side hustles are set to quit their day jobs this year.
The cost of living as measured by inflation has fallen to a 17-month low 5.07 per cent this month compared to 5.39 per cent in January.
The American government has renewed its warning to civilian airlines flying in the Kenyan airspace to watch out for possible attacks by militant groups, in what could heighten anxiety for the tourism industry starting to recover from the Covid-19 pandemic.
With all the buzz around machine learning (ML), artificial intelligence (AI), and big data, enterprises are now becoming curious about the applications and benefits of these in business.
Yields on Kenya’s Eurobonds rose sharply last week as Russia’s invasion of Ukraine caused investors to flee to safe-haven western bonds, putting in doubt Kenya’s plan to issue new debt by the end of June.
Nothing excites people of all ages and social statuses than the story of super achievers. The habits of successful men and women in any society form a sensational story.
In the wake of the global Covid-19 pandemic, impact investing has emerged as a new approach to international development, offering the promise of long-term sustainability.
The National Treasury spent an additional Sh13.42 billion or 6.58 percent more on domestic interest repayments than it had budgeted for in the half-year period to December on the
The digitalisation of global payments is becoming ever more pervasive, and Africa is fully onboard. Although cash is still king, many individuals and businesses are increasingly
Standard Chartered Plc is set to enter the local e-commerce business through Solv, an India-based technology firm in which it invested in December 2020.
The government’s efforts to curb the spread of Covid-19 by restricting international travel saw Kenya lose its position as one of the most welcoming countries in Africa.
The African Continental Free Trade Area (AfCFTA) has tapped former Kenya Institute for Public Policy Research and Analysis (Kippra) boss Stephen Karingi to advise it on
Kenya will host one of the two mega data centres in Africa that will increase Internet speeds and make it harder for hackers to bring down websites.
The Kenyan shilling is under fresh pressure against the dollar after it hit a new record low on Monday, setting up the country for more expensive imports and debt servicing distress.
The State will start making public the names, residential addresses and occupation of secret shareholders in companies that clinch tenders in ministries and parastatals.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Makamu wa Rais Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) Jijini Dar es Salaam wakati akitokea Umoja wa Falme za Kiarabu UAE leo tarehe 28 Februari, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Makamu wa Rais Dkt. Philip Isdor Mpango mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) Jijini Dar es Salaam wakati akitokea Umoja wa Falme za Kiarabu UAE leo tarehe 28 Februari, 2022.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipokea nembo ya Mahakama ya Afrika kutoka kwa Rais wa Mahakama hiyo Imani Aboud, alipomwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan kwenye ufunguzi wa mkutano wa 64 wa Mwaka wa Mahakama ya Afrika, Jijini Arusha, Februari 28, 2022. Mgeni rasmi katika ufunguzi huo ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Shirikisho (Majimbo) ya Nigeria Prof. Yemi Osibanjo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiongozana na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Shirikisho (Majimbo) ya Nigeria Prof. Yemi Osibanjo, kuingia kwenye ukumbi wa TANAPA jijini Arusha kwa ajili ya ufunguzi wa mkutano wa 64 wa Mwaka wa Mahakama ya Afrika, Februari 28, 2022. Mheshimiwa Majaliwa alimwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan kwenye ufunguzi wa mkutano huo (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Shirikisho (Majimbo) ya Nigeria Prof. Yemi Osibanjo (wa nne kushoto) na Rais wa Mahakama ya Afrika, Imani Aboud( wa tano kushoto) wakati alipomwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan kwenye ufunguzi wa mkutano 64 wa Mwaka wa Mahakama ya Afrika, Jijini Arusha, Februari 28, 2022. Wa pili kulia ni Waziri wa katiba na Sheria, George Simabachawene na kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha, John Mongella. Wengine pichani ni Majaji wa Mahakama hiyo.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Baadhi ya washiriki wa ufunguzi wa mkutano wa 64 wa Mwaka wa Mahakama ya Afrika wakimsikiliza Waziri Mkuu Kassim Majaliwa wakati alipozungumza wakati alipomwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan kwenye ufunguzi wa mkutano wa 64 wa Mwaka wa Mahakama ya Afrika, Jijini Arusha, Februari 28, 2022. Mgeni rasmi katika ufunguzi huo ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Shirikisho (Majimbo) ya Nigeria Prof. Yemi Osibanjo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
TUTAENDELEA KUIMARISHA USHIRIKIANO NA UMOJA WA AFRIKA-MAJALIWA
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Tanzania itaendelea kuunga mkono na kuimarisha ushirikiano uliopo na Umoja wa Afrika hasa katika
Dar es Salaam. Tanzania’s public and private institutions have signed a total of 36 memorandums of understanding (MoUs) valued at $7.49 billion (nearly to Sh17.3 trillion) with their United Arab Emirates (UAE) counterparts.
Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka DART Dkt.Edwin Mhede akizungumza na Waandishi wa Habari Kibaha Mkoani Pwani, baada ya Kumalizika kikao cha KAIZEN, mwishoni mwa wiki.
Na Mwandishi Wetu, Kibaha
Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka DART imekua taasisi ya kwanza ya serikali inayojihusisha na masuala ya usafirishaji kutekeleza falsafa ya kuleta mabadiliko chanya katika kuleta maendeleo na tija, KAIZEN.
Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Ridhiwani Kikwete akisisitiza jambo katika kikao cha kupokea taarifa ya migogoro ya ardhi ya mkoa wa Pwani kilichofanyika leo jijini Dar es salaam.
Kamishna wa Ardhi Msaidizi Mkoa wa Pwani Bi. Lucy Kabyemera akiwasilisha taarifa ya migogoro ya ardhi ya Mkoa wa Pwani kwa Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Ridhiwani Kikwete, katika kikao kilichofanyika leo jijini Dar es salaam ikiwa ni maandalizi ya ziara ya utatuzi wa migogoro ya ardhi mkoani PwaniMtendaji Mkuu wa Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka DART Dkt.Edwin Mhede akizungumza na Waandishi wa Habari Kibaha Mkoani Pwani, baada ya Kumalizika kikao cha KAIZEN, mwishoni mwa wiki.
Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka DART imekua taasisi ya kwanza ya serikali inayojihusisha na masuala ya usafirishaji kutekeleza falsafa ya kuleta mabadiliko chanya katika kuleta maendeleo na tija, KAIZEN.
Kinshasa. The Democratic Republic of Congo has signed an “amicable agreement with the Ventura Group of Israeli businessman Dan Gertler” to end the legal dispute