Thursday, November 18, 2021

UCHIMBAJI SALAMA WA MADINI UWE AJENDA KATIKA SHUGHULI ZA UCHIMBAJI MADINI-WAZIRI BITEKO

Waziri wa Madini, Doto Biteko  akiangalia shimo ambako wachimbaji madini wanaingia kwaajili ya kuchimba madini.


Waziri wa Madini, Doto Biteko  akizungumza na wachimbaji madini mara baada alipotembelea mgodi wa Mhalo uliopo wilaya ya Kwimba Mkoani Mwanza aliposikia ajali ya wachimbaji madini 9.

No comments :

Post a Comment