Wednesday, November 3, 2021

NAIBU WAZIRI MABULA AKAGUA MAJENGO YA NHC KARIAKOO YANAYOWEZA KUTUMIWA NA WAMACHINGA

Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula (wa pili kulia) akipata maelezo kutoka kwa Kaimu Mkurugenzi wa Uwekezaji na Uendelezaji Biashara wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) William Genya (kulia) akiwa kwenye mitaa ya Kariakoo jijini Dar es Salaam kukagua majengo ya NHC yanayoweza kutumiwa na Wamachinga tarehe 2 Oktoba 2021
Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula akimsikiliza Makamu Mwenyekiti wa Shirikisho la Wamachinga Tanzania Stephen Lusinde wakati akikagua majengo ya Shirika la Nyumba la Tiafa (NHC) yanayoweza kutumiwa na Wamachinga kwenye maeneo ya Kariakoo Dar es Salaam tarehe 2 Oktoba 2021
Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula akipanda katika moja ya majengo wakati wa ziara ya akikagua majengo ya Shirika la Nyumba la Tiafa (NHC) yanayoweza kutumiwa na Wamachinga kwenye maeneo ya Kariakoo Dar es Salaam tarehe 2 Oktoba 2021.
Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula akikagua sehemu ya jengo la Shirika la Nyumba la Tiafa (NHC) katika mitaa ya Kariakoo wakati wa ziara ya kuangalia majengo ya Shirika hilo yanayoweza kutumiwa na Wamachinga tarehe 2 Oktoba 2021.

No comments :

Post a Comment