Saturday, August 21, 2021

RAIS APOKEA RIPOTI YA UCHAGUZI MKUU 2020


Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji Rufaa (Mst) Semestocles Kaijage akisoma taarifa kwa Rais Samia Suluhu Hassan wakati wa hafla ya kukabidhi Ripoti ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2020 Ikulu jijini Dar es Salaam, Agosti 21,2021. (Picha na NEC). 

Makamishna wa Tume na wageni mbalimbali waalikwa wakifutailia hafla ya kukabidhi ripoti ya Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2020 iliytokabidhiwa kwa Rais Samia Suluhu Hassan, Ikulu jijini Dar es Salaam, Agosti 21,2021. 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akipokea Ripoti ya Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani wa mwaka 2020 kutoka kwa Mwenyekiti wa Tume ya Taifa, Jaji Rufaa (Mst) Semistocles Kaijage, katika halfla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam Agosti 21,2021. Rais aliipongeza Tume kwa kuratibu na kusimamia uchaguzi huo Mkuu wa mwaka 2020 kwa ufanisi mkuu.
 

No comments :

Post a Comment