Waziri
wa nchi ofisi ya Waziri Mkuu(Sera, Uratibu, Bunge, Kazi, Ajira Vijana
na Wenye Ulemavu), Mhe. Jenista Mhagama(katikati), akibadilishana mawazo
na Mkurugenzi Mkuu Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), Bw. Masha
Mshomba (kushoto) na Mkurugenzi Mkuu Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa
Watumishi wa Umma (PSSSF), CPA Hosea Kashimba, mara baada ya kutembelea
Banda la Ushirikiano linalotumiwa na mifuko hiyo miwili kwenye maonesho
ya 45 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam viwanja vya Julius
Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam Julai 5, 2021.
Waziri Mhagama akizungumza wakati akishuhudua utoaji huduma kwa Wanachama upande wa PSSSF.
Waziri
wa nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, (Sera, Uratibu, Bunge, Kazi, Vijana,
Ajira na Wenye Ulemavu), akisindikizwa na Mkurugenzi Mkuu wa PSSSF, CPA
Hosea Kashimba(kulia) na Mkurugenzi Mkuu NSSF, Bw. Masha
Mshomba(katikati) wakati alipotembelea Banda la Ushirikiano linalotumiwa
na mifuko hiyo miwili kwenye maonesho ya 45 ya Biashara ya Kimataifa ya
Dar es Salaam Julai 5, 2021.
CPA Hosea Kashimba(kushoto) akimuhudumia mwanachama aliyetembelea PSSSF.
Mkurugenzi Mkuu NSSF, Bw. Masha Mshomba (kulia) akiuliza maswali kwa Afisa Mwandamizi TEHAMA wa Mfuko huo Bi. Rukia Zuberi
CPA
Kashimba (katikati kushoto) akiongozana na Meneja Uhusiano na Elimu kwa
Wanachama, PSSSF, Bw. James Mlowe (wakwanza kushoto, na Afisa
Matekelezo Mwandamizi Bw. Donald Maeda walipotembelea upande wa NSSF na
kuhudumiwa na Afisa Mwandamizi Matekelezo, Stella Kabyemera
Mkurugenzi
Mkuu wa NSSF, Bw.Masha Mshomba (katikati) akiwa na Meneja Uhusiano
NSSF, Bi. Lulu Mengele (kushoto) akizungumza Jambo huku Mwanasheria wa
NSSF Bi.Theresia Mponzi akimsikiliza.
Bw. Mshomba (kushoto) na CPA Kashimba wakibadilishana mawazo.
Mkurugenzi
Mkuu NSSF, Bw. Masha Mshomba(wapili kushoto) na Mkurugenzi Mkuu PSSSF,
CPA Hosea Kashimba (wapili kulia) wakiwa katika Picha ya pamoja na
Mameneja Uhusiano wa mifuko hiyo miwili, Bw. James Mlowe (kulia) na Bi.
Lulu Mengele (kushoto).
No comments :
Post a Comment