Mkurugenzi Mkuu was Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) Adam Fimbo akizungumza na Michuzi Tv ndani ya Maonesho ya 45 ya Biashara Kimataifa yanayofanyika katika viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere Sabasaba jijini Dar e Salaam. kuhusiana na Mamlaka hiyo juu ya utoaji wa elimu ya matumizi ya tumbaku katika majukumu ya udhibiti.
Afisa Mwandamizi Habari na Elimu kwa Umma wa Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) Roberta Feruzi akitoa huduma kwa Mteja aliyetembelea Banda la Mamlaka hiyo katika maonesho ya 45 ya Biashara Kimataifa yanayofanyika viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere (Sabasaba) jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mkuu was Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) Adam Fimbo (wa tatu kutoka kushoto) akiwa katika picha pamoja na Wafanyakazi katika maonesho ya 45 ya Biashara Kimataifa yanayofanyika viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere (Sabasaba) jijini Dar es Salaam.
*Sheria yataka maeneo ya mikusanyiko ya watu wengi kutengwa sehemu za kuvutia Sigara.
Na
Chalila Kibuda,Michuzi TV Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) imesema
kuwa
Akizungumza katika maonesho ya 45 ya Biashara Kimataifa yanayofanyika katika viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere (Sabasaba) Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka hiyo Adam Fimbo amesema katika majukumu ya kutoa elimu juu ya udhibiti wa Tumbaku ni pamoja na sehemu zenye mikusanyiko ya watu kutenga maeneo ya kuvutia tumbaku na wataoshindwa kufanya hivyo sheria itashika mkondo wake.
Fimbo amesema kuwa hapo nyuma kulikuwa hakuna chombo cha kudhibiti Tumbaku hivyo kazi kwao kutoa elimu zaidi na kuachana na kukamatana nia ikiwa ni jamii kuacha matumizi ya tumbaku na bidhaa zake.
"Kazi hii ni kuelimisha watu waache kuvuta na sheria imeweka maeneo ya mkusanyiko kutenga maeneo ya mikusanyiko kuwa na sehemu ya kuvutia sigara, na bidhaa zingine za tumbaku hata katika kumbi za starehe 'Bar' kuhakikisha wanatenga sehemu ya kuvutia"amesema Fimbo.
Amesema kuwa madhara ya tumbaku ni mengi katika kulinda nguvu kazi lazima kuelimishwa juu ya madhara ya yatokanayo na na bidhaa hiyo ikiwa Kansa ya Damu na Mapafu.
Mkurugenzi huyo amesema kuwa watatoa elimi sehemu mbalimbali ikiwemo vyombo vya habari pamoja na kutumia mikusanyiko mbalimbali.
Amesema mvutaji sigara akivuta kwa na akipuliza moshi wake madhara yake kuwakuta wote na yule aliyevuta hewa moshi huo.
Wale ambao hawatafuata ni kichukuliwa hatua za kisheria ziliwekwa huku kukiwa na mikakati ya miaka mitatu ya kutoa elimu juu madhara ya tumbaku Watu miaka 18 kutojiingiza katika matumizi udhibiti ni wa kutoa elimu Madhara kansa ya damu,mapafu ,wanaovuta kuacha au kupunguza. Maeneo mengi hayatenga sehemu za kuvuta anayevuta akipuliza madhara kwa anayevuta na asiyevuta ni yale yale
No comments :
Post a Comment