Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (kushoto), akizungumza jambo na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula, kabla ya kuanza kwa Mkutano wa 23 wa Baraza la Mawaziri wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), kwa njia ya Mtandao, katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Jijini Dar es Salaam,
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene, akifuatilia Mkutano wa 23 wa Baraza la Mawaziri wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), kwa njia ya Mtandao, katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Jijini Dar es Salaam,
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene (kushoto), akisalimiana na Mkuu wa Operesheni na Mafunzo, Makao Makuu ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Meja Jenerali Jacob Mkunda, kabla ya kuanza Mkutano wa 23 wa Baraza la Mawaziri wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), kwa njia ya Mtandao, katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Jijini Dar es Salaam
Mawaziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama Pamoja na Maafisa mbalimbali wakifuatilia Mkutano wa 23 wa Baraza la Mawaziri wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), kwa njia ya Mtandao, katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Jijini Dar es Salaam
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene, akipitia nyaraka mbalimbali za Mkutano wa 23 wa Baraza la Mawaziri wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), kabla ya kuanza kwa Mkutano huo kwa njia ya Mtandao, katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Jijini Dar es Salaam, leo Julai 7, 2021. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
No comments :
Post a Comment