Waziri wa
Maliasili na Utalii, Dkt.Damas Ndumbaro akitelemka kwenye gari maalum la
kubebea Watalii wa ndani wakati wanapotembelea vivutio vya utalii
katika Hifadhi za wanyamapori lililokuwepo kwenye kwenye maonesho wakati
wa mashindano ya mbio za Utalii Marathon Arusha yaliyofanyika jana
Jijini Arusha yaliyolenga kuhamasisha Utalii wa ndani has katika
kipindi cha ugonjwa wa UVIKO 19 uliotiokisa sekta ya utalii ulimwenguni
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt.Damas Ndumbaro
akikabidhiwa zawadi ya picha ya twiga ilichorwa kwenye ubao kwa kutumia
moto na Msanii Andrea Mwakabale aliyeshiriki kwenye maonesho wakati wa
mashindano ya mbio za Utalii Marathon Arusha yaliyofanyika jana Jijini
Arusha yaliyolenga kuhamasisha Utalii wa ndani has katika kipindi cha
ugonjwa wa UVIKO 19 uliotiokisa sekta ya utalii ulimwenguni, kushoto ni
Mbunge wa Singida Mashariki, Mhe. Miraji Mtaturu
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt.Damas Ndumbaro
akikimbia mbio za urefu wa kilomita tano wakati wa mashindano ya mbio
za Utalii Marathon Arusha yaliyofanyika jana Jijini Arusha yaliyolenga
kuhamasisha Utalii wa ndani has katika kipindi cha ugonjwa wa UVIKO 19
uliotiokisa sekta ya utalii ulimwenguni, wa pili kushoto ni Mbunge wa
Singida Mashariki na wa pili kulia ni mmoja wa Waandaji wa Mashindano
hayo, Samuel Diah.
( PICHA ZOTE NA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII)
*******************************
Waziri wa
Maliasili na Utalii, Dkt. Damas Ndumbaro amewataka Wananchi kutembelea
vivutio vya utalii vilivyopo nchini baadala ya kuona vivutio hivyo vipo
kwa ajili ya wageni pekee
Ameyasema hayo
wakati alipokuwa akizungumza na Washiriki wa mashindano ya mbio za
Utalii Marathon Arusha yaliyofanyika jana Jijini Arusha yaliyolenga
kuhamasisha Utalii wa ndani has katika kipindi cha ugonjwa wa UVIKO 19
uliotiokisa sekta ya utalii ulimwenguni
Amesema Serikali
imejipanga kuhakikisha inahamasisha utalii wa ndani kupitia michezo
mbalimbali ili wananchi waanze utamaduni wa kutembelea vivutio vya
utalii tulivyojaliwa nao.
”Vivutio vya Utalii tulivyonanvyo ni vyetu sote tembeleeni muone uzuri na upekee wa vivutio vilivyopo nchini.
Katika hatu
nyingine, Waziri Dkt. Ndumbaro ametoa wito kwa wadau wengine wa Utalii
kuanzisha matukio MENGINE y a michezo itakayohamasisha watalii
kutembelea vivutio vya utalii vilivyopo nchini.
Amesema michezo imkuwa
ikipendwa na watu mbalimbali ndani na nje ya nchi hali itakayosaidia
kuchochea utamaduni wa watu mbalimbali kutembelea viv ui hivyo
Akizungumza wakati hafla
hiyo ya utoaji wa zawadi kwa washindi Mbio za Mashindano, amesema ya
utalii inataka kubadilsha mtazamo ili watu wengi waweze kujifunza zaidi
Dkt. Ndumbaro
Dt, Ndumbaro aemezitaka
sekta binafsi kuhakikisha zinawekeza hasa katika kipindi hikiambachp
sekta ya utalii nchii imetikiswa kwa kiasi kikubwa
Dkt, Ndumbaro amesema
watali wa ndani hususani sekta ya utalii ni watu muhimu sana kwa vile
kazia binafsi ni kuchakata hoja na kutoa maoni H
No comments :
Post a Comment