RAIS SAMIA AWASILI MKOANI MOROGORO KWA ZIARA YA KIKAZI YA SIKU MBILI
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Wananchi mbalimbali waliojitokeza kumpokea alipowasili katika
Eneo la Msamvu Mkoani Morogoro kwa ajili ya kuanza ziara ya kikazi ya siku mbili
leo Julai 07,2021. Picha na Ikulu
No comments :
Post a Comment