RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali
Mwinyi akiweka Jiwe la Msingi la Ufunguzi wa Kituo cha Afya Mbuyu Maji
Matemwe na (kushoto) Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Wazee Jinsia na
Watoto Zanzibar Mhe.Nassoro Ahmed Mazrui, wakati wa ziara yake katika
Mkoa wa Kaskazini Unguja na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini
Unguja.Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud.(Picha na Ikulu).
WANANCHI
wa Kijiji cha Mbuyumaji Matemwe Mkoa wa Kaskazini Unguja wakimsikiliza
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali
Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia baada ya kukifungua Kituo cha Afya
Mbyumaji Matemwe Mkoa wa Kaskazini Unguja.(Picha na Ikulu)
No comments :
Post a Comment