Mkurugenzi wa Umoja wa Wahitimu Wajasiliamali Chuo Kikuu cha Kilimo Sokoine SUGECO Revocutus Kimario akitoa mafunzo ya ujasiriamali kwa vijana zaidi ya 400 kutoka vyuo vya kati vya kilimo na baadhi ya vikundi vya wakulima mkoani Mbeya.
Mkufunzi
wa chuo cha kilimo Uyole( MAT-UYOLE)mkoani Mbeya Betina Mwakasanga
akiangalia bidhaa zinazozalishwa na wanachuo wa chuo hicho.
Mkuu
wa chuo cha kilimo Uyole mkoani Mbeya wa tatu kulia (Suti Nyeusi)
Akiangalia bidhaa inayozalishwa na mjasiliamali kutoka Mbeya katika
maonyesho yaliyowahusisha wanafunzi wa vyuo mbalimbali vya kilimo
mkoani Mbeya yenye lengo la kuwaunganisha wakulima na masoko lakini pia
kutambulisha uwepo wa ofisi za SUGECO maeneo ya Chuo cha kilimo Uyole
.
Baadhi ya wananchuo wakipewa maelekezo ya teknolojia mbalimbali na bidhaa zinazozalishwa na umoja wa wahitimu wajasiliamali chuo kikuu cha kilimo Sokoine SUGECO .
No comments :
Post a Comment