Tuesday, June 8, 2021

SPIKA JOB NDUGAI AFANYA MAZUNGUMZO NA NAIBU SPIKA KAZOMBO BUNGENI JIJINI DODOMA

Spika wa Bunge, Job Ndugai (kushoto) akisalimiana na Naibu Spika wa Kwanza wa Bunge la Malawi, Madalitso Kazombo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma, Juni 8, 2021

Spika wa Bunge, Job Ndugai (katikati) akizungumza na ugeni kutoka Bunge la Malawi ukiongozwa na Naibu Spika wa Kwanza wa Bunge la Malawa, Madalitso Kazombo (kushoto kwake) walipomtembelea leo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma, Juni 8, 2021, Wapili kushoto ni Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson

Spika wa Bunge, Job Ndugai (katikati) katika picha ya pamoja na Naibu Spika wa Kwanza wa Bunge la Malawi, Madalitso Kazombo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma, Juni 8, 2021

Spika wa Bunge, Job Ndugai (katikati) katika picha ya pamoja na Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson (kulia) na Naibu Spika wa Kwanza wa Bunge la Malawi, Madalitso Kazombo Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma, Juni 8, 2021

 

No comments :

Post a Comment