Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan
akimkabidhi Zawadi za Picha Rais wa Jamhuri ya Botswana Dkt. Mokgweetsi
Eric Keabetswe Masisi mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam
leo tarehe 10 Juni 2021.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan
akisalimiana na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Botswana Dkt. Mokgweetsi
Eric Keabetswe Masisi mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam
leo tarehe 10 Juni 2021.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan
akipokea na kuiangalia zawadi ya picha aliyopewa na Rais wa Jamhuri ya
Botswana Dkt. Mokgweetsi Eric Keabetswe Masisi mara baada ya kuwasili
Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 10 Juni 2021.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan
akizungumza na wanahabari mara baada ya mazungumzo yao Rasmi na Rais wa
Jamhuri ya Botswana Dkt. Mokgweetsi Eric Keabetswe Masisi Ikulu Jijini
Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Botswana Dkt. Mokgweetsi Eric Keabetswe Masisi
akizungumza na Wanahabari Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 10 Juni
2021.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan
akiongoza Ujumbe wa Tanzania katika mazungumzo na Ujumbe wa Botswana
uliokuwa ukiongozwa na Rais wao Dkt. Mokgweetsi Eric Keabetswe Masisi
Ikulu Jijini Dar es Salaam.
No comments :
Post a Comment